Mbunge wa Jimbo lilipo daraja la Wami, msaidie huyu mama

Ila ningekuwa ni Rais wa hii nchi, bila kuuliza ningenunua Lori mpya nimpe huyu mama!

Tumechoka kuibiwa.

Ungekuwa Rais ungemnunulia lori jipya kwa hela ya nani wewe duschebag?

Nenda Sekenke, Kitonga, chungulia chini ya shimo kuna malori mule... huna uwezo yanabaki humo humo... sasa yeye asaidiwe, yeye nani???

Kipisi used (kichwa cha Scania bila trailer) ni 80 milion and above!

Nionyeshe kipisi milioni 18, wapi ????

Mtu mwenye uwezo wa kununua Scania Tanzania hapa ni top one percentile, tajiri mchafu! Ndio mtu wa mwisho kutakiwa kusaidiwa!

NYERERE, 1995, kikao cha kumpitisha Mkapa alisema: TANZANIA BADO NI NCHI YA WATU MASIKINI WA KUTUPWA!
 
Jamani leteni mrejesho wa Michango ya huyu Mama Gari limetoka Mtoni?
 
Mimi swali langu hapo ni dogo sana....
Je, wakati huyo mama ananunua hilo lori kwanini hakulikatia bima??
Kama alilikatia alikata bima kubwa, hapo anahitaji asaidiwe pesa kwaajili ya nini??
 
Chakusikitisha zaidi ni kwamba mleta mada ameadress mali moja kwa moja, je huyo dereva aliye fariki wanao mtegemea nao walipwe nini?
 
Mkuu, sio kila jambo linataka kuingiliwa na wanasiasa. Hapo kwenye hiyo ajali sijaona sababu ya wewe kumtaja mh mbunge amsaidie huyo mama, kwasababu mbona havihusiani...[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mimi swali langu hapo ni dogo sana....
Je, wakati huyo mama ananunua hilo lori kwanini hakulikatia bima??
Kama alilikatia alikata bima kubwa, hapo anahitaji asaidiwe pesa kwaajili ya nini??

alikata Bima ndogo kwa vile alikua hana hela lengo lake ni kuwa gari ikipiga trip mbili tatu akipata hela ndio akakate bima kubwa....
 
Mkuu, sio kila jambo linataka kuingiliwa na wanasiasa. Hapo kwenye hiyo ajali sijaona sababu ya wewe kumtaja mh mbunge amsaidie huyo mama, kwasababu mbona havihusiani...[emoji848][emoji848][emoji848]

Kwani kazi ya mwanasiasa ni nini?
 


2002 Scania P94 Chassis cab with PTO- Choice of 2 in ASHBY-DE-LA-ZOUCH | Auto Trader Trucks

Tatizo ni TRA tu lakini hayana bei vile
 
alikata Bima ndogo kwa vile alikua hana hela lengo lake ni kuwa gari ikipiga trip mbili tatu akipata hela ndio akakate bima kubwa....
Sasa huo ni uzembe wake mkuu....
Haiwezekani anunuwe machine kwa fedha nyingi then afanye ubahili kwa kutolipia bima yenye thamani.
Pia kumbuka kwamba kuweka chombo barabarani ni kufanya biashara kwenye high risk area, hivyo hakuapaswa kufanya kwa kubahatisha.
 
Mimi swali langu hapo ni dogo sana....
Je, wakati huyo mama ananunua hilo lori kwanini hakulikatia bima??
Kama alilikatia alikata bima kubwa, hapo anahitaji asaidiwe pesa kwaajili ya nini??
Kwa Millard alisema alikatia bima ndogo
Anahutaji msaada gari iopolewe
 
Piece of shit! Ptuuu[emoji57][emoji57]

Pita kule
 
Sio mzembe mkuu mfatilie YouTube kwa Joyce kiria kaeleza kinaga ubaga

Naamini utamuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…