Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
Mama alinunua chakavu kalipeleka kwa mafundi mchundo. Jumla ya gharama ndio 83m.
Mkuu hakuna lori namba A au B lenye thamani hiyo,hayo malori unapata used toka uk kwa 70m mpka 65m tena model ya juu...mama kaongeza sifuri za kutosha