Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
Will doCheki kwa Millard Ayo Kuna picha yake!yule hata 30hana
Will doCheki kwa Millard Ayo Kuna picha yake!yule hata 30hana
Hilo gari halina bima?Kuna wakati wabunge sijui wanawaza nini hawajui kujichanganya na matatizo japo madogo tu ya wananchi , tarehe 5 mwezi huu , katika daraja la mto wami lori lilitumbukia mtoni na dereva wake , dereva alifanikiwa kutolewa na wataalam wa kuogelea , lakini lori bado mpaka leo lipo ndani ya maji , kwa mujibu wa mmililiki wa lori Mama mmoja ambaye ni mzee kwa kweli gari hili alilinunua baada ya kudunduliza hela zake na kupata kiasi cha milioni 18 akaamua kununua hilo gari ikiwa ndio safari yake ya kwanza likapata ajali , toka ajali itokee yule mama kapiga kambi pale wami akiomba msaada , mpaka jana kiasi cha milioni mbili kilichangwa na wamama ili kumsaidia , na zinaitajika kiasi cha milioni tano ili kutoa lori hilo katika mto.
NIMSHAURI MBUNGE WA ENEO HILO FANYA JAMBO KUMSAIDIA HUYO MAMA HATA KAMA SIO MPIGA KURA WAKO , ILA AJALI IMETOKEA KATIKA ENEO LAKO.
kabisa...na keshokutwa wanalamba ml 200 MMOJA eti KIINUA MGONGO!!!.Wabunge ndio wanachukua hela za bure bila kufanya kazi yoyote ya maana.
Siku zote rahisi ni aghari na aghari ni rahisi na huenda hata dereva hakuwa na uzoefu huenda alikuwa dereva wa daladala.Aghali mkuu!..sema majority hatuna uelewa kbs kuhusu bima! Hatuna elimu hiyo kbs!
Mkuu hakuna lori namba A au B lenye thamani hiyo,hayo malori unapata used toka uk kwa 70m mpka 65m tena model ya juu...mama kaongeza sifuri za kutosha
OohhMkuu hakuna lori namba A au B lenye thamani hiyo,hayo malori unapata used toka uk kwa 70m mpka 65m tena model ya juu...mama kaongeza sifuri za kutosha
Hiyo gari lazima lazima engine ifunguliwe akilitoa humu,hapo nossel na spea zingine afunge mpya itakula 10m kwenye speaTukiacha huruma tulizojaaliwa watz huyu mama anahutaji mshauri Kwanza wa Mambo ya biashara! Haingii akilini umenunua chombo kwa gharama kubwa tu lakini ukakosa 5m! Na ndo ameanza biashara anasema!
Point yangu hivyo vyombo vya Moto havina guarantee ..je scania lingekula mzinga angeweza kuafford hizo gharama walau kurudisha ile show ya mbele?hajajipqnga hata kidg!
La mwisho sio mzee huyu mama! Ni wa makamo!
Mkuu 113 au 124 namba A au B hapo dar 30m unapata,madalali wanapost scania namba D na tela lake kwa 50m mpka 40m na bado ukitulia unapata chini ya hapoOohh
Third party, analipwa uliyemsababishia ajali mwenye gari tengeneza mwenyewe.Halina bima?
Design alikua Ana mizuka ..vibes..au la alilkua bwax!mie siku zote namtafakari huyu mama why alompa yule dogo!Siku zote rahisi ni aghari na aghari ni rahisi na huenda hata dereva hakuwa na uzoefu huenda alikuwa dereva wa daladala.
Bei ya hiyo comprehensive inazidi faida atakayoipata kwenye biashara Yake mwaka mzima labda.Ndio maana watu tunashauriwa kukata bima stahili badala ya ile 3rd part ambayo kazi take kuu ni kumuonyesha traffic una bima.
Comprehensive insurance ingefidia gari na mzigo wake na hangekuwa na pressure ya kulala halo Wami darajani.
Kuna wakati wabunge sijui wanawaza nini hawajui kujichanganya na matatizo japo madogo tu ya wananchi , tarehe 5 mwezi huu , katika daraja la mto wami lori lilitumbukia mtoni na dereva wake , dereva alifanikiwa kutolewa na wataalam wa kuogelea , lakini lori bado mpaka leo lipo ndani ya maji , kwa mujibu wa mmililiki wa lori Mama mmoja ambaye ni mzee kwa kweli gari hili alilinunua baada ya kudunduliza hela zake na kupata kiasi cha milioni 18 akaamua kununua hilo gari ikiwa ndio safari yake ya kwanza likapata ajali , toka ajali itokee yule mama kapiga kambi pale wami akiomba msaada , mpaka jana kiasi cha milioni mbili kilichangwa na wamama ili kumsaidia , na zinaitajika kiasi cha milioni tano ili kutoa lori hilo katika mto.
NIMSHAURI MBUNGE WA ENEO HILO FANYA JAMBO KUMSAIDIA HUYO MAMA HATA KAMA SIO MPIGA KURA WAKO , ILA AJALI IMETOKEA KATIKA ENEO LAKO.
LORY MILIONI 18???
Wametoa maiti lori wameacha !Kuna wakati wabunge sijui wanawaza nini hawajui kujichanganya na matatizo japo madogo tu ya wananchi , tarehe 5 mwezi huu , katika daraja la mto wami lori lilitumbukia mtoni na dereva wake , dereva alifanikiwa kutolewa na wataalam wa kuogelea , lakini lori bado mpaka leo lipo ndani ya maji , kwa mujibu wa mmililiki wa lori Mama mmoja ambaye ni mzee kwa kweli gari hili alilinunua baada ya kudunduliza hela zake na kupata kiasi cha milioni 18 akaamua kununua hilo gari ikiwa ndio safari yake ya kwanza likapata ajali , toka ajali itokee yule mama kapiga kambi pale wami akiomba msaada , mpaka jana kiasi cha milioni mbili kilichangwa na wamama ili kumsaidia , na zinaitajika kiasi cha milioni tano ili kutoa lori hilo katika mto.
NIMSHAURI MBUNGE WA ENEO HILO FANYA JAMBO KUMSAIDIA HUYO MAMA HATA KAMA SIO MPIGA KURA WAKO , ILA AJALI IMETOKEA KATIKA ENEO LAKO.
Tukiacha huruma tulizojaaliwa watz huyu mama anahutaji mshauri Kwanza wa Mambo ya biashara! Haingii akilini umenunua chombo kwa gharama kubwa tu lakini ukakosa 5m! Na ndo ameanza biashara anasema!
Point yangu hivyo vyombo vya Moto havina guarantee ..je scania lingekula mzinga angeweza kuafford hizo gharama walau kurudisha ile show ya mbele?hajajipqnga hata kidg!
La mwisho sio mzee huyu mama! Ni wa makamo!
Mimi nipo tayari kumsaidia buku tano.Sasa mbona hakuna msaada?
Used, ndio maana halikuwa na break imara. Ila ndio ujasiriamali huo.
Mzee mwanzo wa biashara ni siri ya walio fanikiwa.
Kuna ndugu yangu alianza biashara ya daladala, kwa kununua daladala chakavu, mbona alijuta, lakini alipo simama na kupanbana na changamoto leo ana daladala 36
Ndio maana watu tunashauriwa kukata bima stahili badala ya ile 3rd part ambayo kazi take kuu ni kumuonyesha traffic una bima.
Comprehensive insurance ingefidia gari na mzigo wake na hangekuwa na pressure ya kulala halo Wami darajani.