Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

Msomi Gani.wewe unaye shindwa kumwelewa hapa,na kuishia kutuletea hapa tuhuma zisizo na.ushahidi,hapakuwa na Serikali kipindi hicho!?Kwa Taarifa Yako hii ni aina ya uwasilishaji wa ujumbe ya kiwango Cha juu kabisa,wasomi wa makaratasi anawaacha hewani wakielea
 
Huyo Yuko Makini Sana anapotoa hoja,usikariri elimu ya kizungu,tulia na uelewe hoja zake.
 
Usimjadili yeye Nini alifanya,jadili hoja yake,hata wewe wanaokujua yawezekana Kuna mengi maovy umefanya
 
Kama kweli ametajirika kwa njia hiyo mpe heshima yake.
 
Na wewe, toka Kwenye branketi la usomi uone na kujifunza kutoka kwa wajinga!!

Mf mdogo tu Kwa wewe msomi!

Ni lini umefanya research Yako, ukajiridhisha kwamba, ubongo wa Mwanadamu hauna uwezo kabisa wa kusoma madarasa mawili Kwa mwaka?

Na vipi ubongo huohuo upangiwe kwamba, ndani ya mwaka mmoja ndio kiwango chake cha kuezlewa somo moja, Kwa nini isiwe miaka mitano ama zaidi?

Wasomi msiojifunza Kwa wajinga ni utumwa wa Elimu zenu

Profeseli wewe nini?
 
Labda anaongelea short-courses. Lakini wacha ng'ombe tu waishe...sisi walevi bia zitashukaje bila nyamachoma?
 
Leo hii mtu asome miezi nane apewe degree ya Pharmacy au MD?..amelitolea ufafanuzi hili?

Tatizo la ajira huwezi kulimaliza hivi..na nchi lazima iwe na wasomi regardless ya watapata kazi ya walichosomea au lah..hatuwezi kuwa na idadi kubwa ya watu wasio na elimu nzuri..Tubadilishe elimu yetu iwaandae vijana kupambana na mazingira na kuwa wabunifu,serikali pia iweke mazingira mazuri ya kukua kwa private sector.
 
Acha uongo wa mchana wewe.

Umeikoteza stori za vijiweni inakuja hapa kuchafua mtu.

Kishimba ni mfanyabiashara hodari intelligent.
 
Asamehemwe, hajui alisemalo. Yaani elimu ya miaka mitatu itolewe kwa miezi nane? Hayuko siriasi kabisa huyo Mbunge
Inawezekana sana,kuna mambo mimi nimesoma BCOM mpaka leo sijawahi kuyatumia kabisa,mfano Queuing Model sijui Assignment Model,yaani wangeenda kuuliza waajiri wanataka nini nakwambia miezi mitano mingi
 
Unatoa allegation bila ushaidi wowote mbaya zaidi unakuta na wewe umesoma degree ya miaka mitatu🤣🤣🤣
 
Hapana mfatilie Kwa makini huku ukiwa neutral utagundua ana hoja zenye mashiko kwenye 'upuuzi' anaoongeaga
Ana hoja kuzidi hata ma Dr. wa pale mjengoni.Maana anazungumzia elimu kama vile ni msomi aliyepitia shule za level zote. Nimempenda, kuna kitu anatamani kifanyike ktk mfumo wa elimu ambacho Prof. Ndalichako hata hajakijua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…