Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

Weng mnampinga humu ila yupo sawa na wenzetu wana Elimu ya kutembea ambayo n bora zaid kulko chet
 
Elimu inahitaji marekebisho makubwa sana@ haliwezekani mtu ana bachelor ya economics, lakini bado mia tano ya vocha inampiga chenga mpaka apige mzinga kwa mdogo wake aliyemaliza la Saba tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu wenye Sifa za Degree, Masters na PHD lakini si watu wa kuona future sifa ya cheti huwapumbaza hupambana kutafuta kazi kisha hujiona wao ndio wao... Tizama Mitifuano ya Elimu enzi za Jackson Makweta kiswahili au english Mashuleni haswa shule za Msingi ndio Matokeo ya Font Fent na kiongozi akiongea kiswahili watu wanashukuru sana maana angeongea English ingekuwa gumzo na kashfa kuwa haujui english... Kuna mtu alisema huko nje mtu anapewa mike kwenye mikutano wanaosikiliza wanaangua vicheko tu kwa lugha mbovu iliyovunjika kiingereza cha mtanzania.. Elimu fumueni kama english basi iwe hivyo na foundation zake elimu ya msingi and kama ni kiswahili basi iwe hivyo... Ndio maana wasomi wa TZ wanaishia kukariri tu na kuwa na elimu bila kuelimika... Ndio maana hakuna Slogan yeyote ya Mwanasiasa mwenye nia nzuri ya maendeleo ikafanikiwa eti Viwanda au Kilimo... and zana hakuna bulshait
elimu sio english mkuu, ni bora umpime kwa alichokisomea mfano mtu amesoma PhD ya Mathematics utamhukumu hivi kwamba hana elimu, kwakuangalia kiingereza hebu kapambane naye kwenye hesabu uone kama utamshinda
 
Huyu ni comedian tu na anataka siku zote kuwadharau waliosoma kwa vile yeye ni Darasa la 7. Bado watu hawajasahau namna alivyofanya uharamia wa biashara ndani ya Lake Victoria. Amebeba Sana magendo, amekwepa sana Kodi, ameua sana maafisa wa Serikali.

Na mara ya mwisho kwenye miaka ya mwanzo mwa 2000 alihusika kuwamwagia watumishi wa TRA tindikali. Kisha alipokuwa wanted akakimbilia Zimbabwe.

Kishimba hata madawa ya kulevya ameuaza Sana kwa kubeba kwenye magari yake kati ya SA, Zimbabwe na Tanzania.

Asidharau elimu kwa vile ametajirika kwa njia OVU
Tafakari hoja yake usimshambulie yeye binafsi, kwani kama amefanya hayo hawezi kuwa na mawazo mazuri? kuna wangapi wameuza hayo madawa na vitu kama hivyo sasa ni viongozi wetu?
 
Huyu ni comedian tu na anataka siku zote kuwadharau waliosoma kwa vile yeye ni Darasa la 7. Bado watu hawajasahau namna alivyofanya uharamia wa biashara ndani ya Lake Victoria. Amebeba Sana magendo, amekwepa sana Kodi, ameua sana maafisa wa Serikali.

Na mara ya mwisho kwenye miaka ya mwanzo mwa 2000 alihusika kuwamwagia watumishi wa TRA tindikali. Kisha alipokuwa wanted akakimbilia Zimbabwe.

Kishimba hata madawa ya kulevya ameuaza Sana kwa kubeba kwenye magari yake kati ya SA, Zimbabwe na Tanzania.

Asidharau elimu kwa vile ametajirika kwa njia OVU
Wewe mwenye elimu una nini? Kishimba yupo right
 
Hii kitu alikua anaifanya dkt Richard masika akiwa mkuu wa chuo pale ATC.

Vijana wa mwaka wa mwisho walikua wanaenda interview mara kwa mara hata chuo hawajamaliza.

Wakimaliza tu,
wananyakuliwa juu kwa juu.

ALIKUJA KUONDOLEWA PALE KIHUNI SANA kwa KUTOFAUTIANA MTIZAMO NA JIWE
Huyu mwamba alikuwa DIT kabla hajahamishiwa ATC kama sijakosea. Nakumbuka kipindi hicho niko first year, waajiri walikuwa wanakuja pale kupigisha wanafunzi interview na walikuwa wakimaliza wananyanyuliwa tu juu kwa juu, akabakia Kondoro huyu alikuwa siasa tu, wa sasa pale ni Prof Ndomba kama sijakosea nae ni kama hamna kitu pia
 
Huyu ni comedian tu na anataka siku zote kuwadharau waliosoma kwa vile yeye ni Darasa la 7. Bado watu hawajasahau namna alivyofanya uharamia wa biashara ndani ya Lake Victoria. Amebeba Sana magendo, amekwepa sana Kodi, ameua sana maafisa wa Serikali.

Na mara ya mwisho kwenye miaka ya mwanzo mwa 2000 alihusika kuwamwagia watumishi wa TRA tindikali. Kisha alipokuwa wanted akakimbilia Zimbabwe.

Kishimba hata madawa ya kulevya ameuaza Sana kwa kubeba kwenye magari yake kati ya SA, Zimbabwe na Tanzania.

Asidharau elimu kwa vile ametajirika kwa njia OVU
Hapa hujajibu hoja zake hizi ni chuki binafsi nadhani kuna mahala mmegongana huyu!
 
Hapana mfatilie Kwa makini huku ukiwa neutral utagundua ana hoja zenye mashiko kwenye 'upuuzi' anaoongeaga
Hamna hoja hapo ushuzi mtupu,akili za huyo Jamaa ndizo akili za Watanzania wengi kiss amefanikiwa kuwa na Mali haoni umuhimu wa Elimu.

Kimsingi tatizo hata sio wanao graduate na kukosa kazi, makosa yako kwa hao wabunge kama wasimamizi wa Serikali.

Kiufupi hajui alitendalo ukisikiliza anacho kiongea ni kama anajitukana yeye na Wabunge wenzake pasipo kujijua.Wenyewe kama wawakilishi wa Wananchi wanatakiwa wake na mode namna ya kuishsuri Serikali kukndokana na tatizo badala yake hana maarifa hayo.
 
Nilidhani umeshusha nondo za kumshusha zaidi huyo mbunge aliyeshauri huo ujinga unaouita, kumbe wewe ni msomi mlalamishi usiyeelewa chochote!

Unapokosoa, onyesha nini mbadala wa hicho,

Wewe unawalalamikia wabunge waishauri serikali bila kuonyesha ushari unaotaka wabunge wauseme

Kwa tarifa Yako, hoja ya Kishimba inamaana kubwa Sana kuliko ulalamishi wenu wasomi

Mawazo ya wasomi Watanzania huishia Kwenye kulaumu bila kutoa suluhu, huo ni ujinga mtupu, Kishimba anajaribu kuja na njia na wewe unaiwakandia wabunge waone nini cha kushauri, sasa wewe msomi na Kishimba asiye msomi, Nani kaishauri serikali?
 
Huyu ni comedian tu na anataka siku zote kuwadharau waliosoma kwa vile yeye ni Darasa la 7. Bado watu hawajasahau namna alivyofanya uharamia wa biashara ndani ya Lake Victoria. Amebeba Sana magendo, amekwepa sana Kodi, ameua sana maafisa wa Serikali.

Na mara ya mwisho kwenye miaka ya mwanzo mwa 2000 alihusika kuwamwagia watumishi wa TRA tindikali. Kisha alipokuwa wanted akakimbilia Zimbabwe.

Kishimba hata madawa ya kulevya ameuaza Sana kwa kubeba kwenye magari yake kati ya SA, Zimbabwe na Tanzania.

Asidharau elimu kwa vile ametajirika kwa njia OVU
Wivu tu. Sasa kama umeuawa unawezaje kuandika humu jukwaani?
 
Una ushahidi???
Ndiyo Kama umezaliwa juzi huwezi kuyajua Ila huyu mwamba acha tu na hakuwa peke yake wapo kina Gitana kina Matata Kina Kassinga hawa walikuwa Mafia kutoa magendo Kisumu Kenya huko ziwani walikuwa na serikali zao
 
Hamna hoja hapo ushuzi mtupu,akili za huyo Jamaa ndizo akili za Watanzania wengi kiss amefanikiwa kuwa na Mali haoni umuhimu wa Elimu.

Kimsingi tatizo hata sio wanao graduate na kukosa kazi, makosa yako kwa hao wabunge kama wasimamizi wa Serikali.

Kiufupi hajui alitendalo ukisikiliza anacho kiongea ni kama anajitukana yeye na Wabunge wenzake pasipo kujijua.Wenyewe kama wawakilishi wa Wananchi wanatakiwa wake na mode namna ya kuishsuri Serikali kukndokana na tatizo badala yake hana maarifa hayo.
Huyo Kishimba hoja zake za kudharau elimu ziko na msukumo wa kwamba yeye hakusoma lakini ana hela. But I tell you historia yake ya kupata hela hizo inahusisha umwagaji damu.

Angekaa kimya tu Ila mawazo yake hayana maana
 
Umeamua kumu attack? Ishu ni kwamba ana hoja au hana? Usikimbilie kuhukumu njia zake alizotumia kutoboa
 
Back
Top Bottom