Acha wivu!
Kishimba kakupa mtihani wewe kama msomi, Umjibu kisomi, anauliza....!
Ni nani aliyesema Kwamba, ubongo wa Mwanadamu bila kufundishwa mwaka mmoja Kwa somo moja hauwezi kushika na kuelewa?
Je, kusomea manunuzi ni lazima iwe miaka mitatu?
Je, kuna aliyefanya liseach ya hayo akafahamu uwezo wa ubongo wa Mwanadamu kuwa masomo ya kusomea manunuzi, ili mtu aelewe inahitajika asomee miaka mitatu ni Nani huyo?
Acheni kubisha kila kitu, fanyieni kazi hayo wasomi wetu muone kama hatukingizwa chaka na mkoloni