Sijui; kumbukumbu niliyotoa ni ya zaidi ya miaka 30 iliyopita, inaweza kuwa sahihi au sivyo kwa vile kama nilivyosema haikuacha trace zozote za ushahidi physical bali ilikuwa ni circumstantial tu ambayo ikawa ngumu kufuatilia kutokana na matukio mengine yaliyohusu uongozi wa Shirecu wakati huo. Usimhukumu kwa taarifa hii
Haahaa, msukuma pia.maana jamaa alikiri alikuwa akiiba dhahabu za wazungu kwenye viloba.
Usisahau alivyoua watu na meli yake ya kaongo iliyozama kwa kupakia mizigo kuzidi uwezo wake. Serikali ilimlinda kwa nguvu zote alijificha Malawi kwa miezi sita aliporudi akagombea ubunge.Jamaa alikuwa dereva wa lori Scania la Mizigo la SHIRECU , halafu akaiba nadhani ngano aliyokuwa akisafirisha kutoka Dar kwenda Shinyanga kwa kuangusha gari Singinda na kuuza ngano yote katika utaratibu ambao haukuacha trace yoyote ya ushahidi. Baada ya hapo akaacha udereva na kuanza biashara ya kusaga nafaka na usafirishaji mizigo; baadaye akawa tajiri wa kutupwa na kuanza kumiki mali zote zilozokuwa za KADECO wakati wa miaka ya themanini. Kuna mantiki ya step tatu katika ushauri huu: iba-usishikwe-rudisiha kwa jamii. Jamaa ameisadia sana Kahama kuliko enzi hizo za KADECO.
Usisahau alivyoua watu na meli yake ya kaongo iliyozama kwa kupakia mizigo kuzidi uwezo wake.Serkali ilimlinda kwa nguvu zote alijificha Malawi kwa miezi sita aliporudi akagombea ubunge.
Haswaaaa iliua watu zaidi ya 100 wakati ilikuwa meli ya mizigo tu. Iliitwa kamongo.Sawa sawa nalikumbuka sana hilo tukio nafikiri kati ya mizigo iliyo kuwepo ni cement kibao
Nn maoni yko kuhusu huko kwenu lumumba kufungua chuo cha wakabaji na wezi ??Lema atakuwa amefuahi sana haya maoni ya kishimba
Nn maoni yko kuhusu huko kwenu lumumba kufungua chuo cha wakabaji na wezi ??
Anza ww kwanza..nn maoni yko kama kada mtiifu wa ccm?? HahahaaaTumuilize kwanza lema
Hiyo point yako ya namba mbili ni kiboko sana, nimeikubali1. Huyo mtu ni darasa la saba ila kaongea kitu ambacho hata maprofesa hawawezi kumuelewa na ndicho kinachoonekana hapa
2. Watu waliopitia vyuo vya kuwaandaa wachungaji na mapadre watakubaliana na mimi kuna somo huwa wanafundishwa kuwa hakuna Mungu na wanasoma phylosopher wengi wanaokataa uwepo wa Mungu ila miaka ijayo ndio wanakuja kusoma kuwa Mungu yupo...
mkuu hiki alichokiongea ni konki, sema hujamsoma fresh tu!Huyu mbunge toka nimeanza kumjua hajawahi ongea point kamwe. Anyway ni haki yake kutoa maoni wako wabunge wako bungeni wanakula posho na kodi zetu bure tu