Mbunge wa Kahama Mjini(CCM), Jumanne Kishimba ashauri Serikali kuanzisha chuo cha wizi

Huyu mbunge IQ yake kubwa sana. Alichomaanisha ni kuwa wahasibu wafundishwe Forensic audit, Fraud risk etc, ila kwa lugha yake nyie msiofahamu mtambeza sana, ila kaongea pointi muhimu sana, Tanzania watalaamu wa forensic audit, fraud si wengi ni wachache mno.

Kingine wanafuzni wote iwe compulsory kwa somo la Business ethics, ili kuinstall moral behaviour kwa wahusika. Nadhani serikali ilichukulie hili jambo na kulifanyia kazi
 
1. Huyo mtu ni darasa la saba ila kaongea kitu ambacho hata maprofesa hawawezi kumuelewa na ndicho kinachoonekana hapa

2. Watu waliopitia vyuo vya kuwaandaa wachungaji na mapadre watakubaliana na mimi kuna somo huwa wanafundishwa kuwa hakuna Mungu na wanasoma phylosopher wengi wanaokataa uwepo wa Mungu ila miaka ijayo ndio wanakuja kusoma kuwa Mungu yupo...
"In order to catch a criminal,you need to think/act like one". Sijui ni Criminal Minds au series gani nimenukuu.
 
Unahitaji kuwa na akili nyingi sana kumuelewa Mh. Kishimba kwa hoja yako hii inayoonyesha humuelewi wewe huna akili nyingi unazo za kawaida tu.

Kwani mkuu CRIMINOLOGY ni elimu ya nini?
 
Ungejua huo utajiri aliupata vipi usinge ongea ulicho kiandika
Jumanne Kishimba tunamjua vizuri. Ni maarufu kwenye biashara za magendo kutoka Kenya kupitia Lake Victoria miaka ya 1990s. Ila ni mmoja kati ya wafanya biashara walikuwa wanatumia tindikali katika kuwatisha wafanyakazi wa TRA wakati wanadhibiti mali inayoingia nchini bila kulipia kodi. Walikuwa wanawakodi vijana na wanawatuma wakawamwagie tindikali.

Muulizeni kilichomkimbiza nchini na kwenda kuishi Zimbabwe. Alikimbia RB pale Mwanza Central Police ya kujeruhi/ kuua.
 
Hilo linajulikana kuwa alikimbia baada ya meli yake ya mizigo kuzama ikiwa na abiria karibia 100
Julianne Kishimba tunamjua vizuri. Ni maarufu kwenye biashara za magendo kutoka Kenya kupitia Lake Victoria miaka ya 1990s. Ila ni mmoja kati ya wafanya biashara walikuwa wanatumia tindikali katika kuwatisha wafanyakazi wa TRA wakati wanadhibiti mali inayoingia nchini bila kulipia kodi. Walikuwa wanawakodi vijana na wanawatuma wakawamwagie tindikali.

Muulizeni kilichomkimbiza nchini na kwenda kuishi Zimbabwe. Alikimbia RB pale Mwanza Central Police ya kujeruhi/ kuua.
 
Hilo linajulikana kuwa alikimbia baada ya meli yake ya mizigo kuzama ikiwa na abiria karibia 100
Julianne Kishimba tunamjua vizuri. Ni maarufu kwenye biashara za magendo kutoka Kenya kupitia Lake Victoria miaka ya 1990s. Ila ni mmoja kati ya wafanya biashara walikuwa wanatumia tindikali katika kuwatisha wafanyakazi wa TRA wakati wanadhibiti mali inayoingia nchini bila kulipia kodi. Walikuwa wanawakodi vijana na wanawatuma wakawamwagie tindikali.

Muulizeni kilichomkimbiza nchini na kwenda kuishi Zimbabwe. Alikimbia RB pale Mwanza Central Police ya kujeruhi/ kuua.
 
Hilo linajulikana kuwa alikimbia baada ya meli yake ya mizigo kuzama ikiwa na abiria karibia 100
Julianne Kishimba tunamjua vizuri. Ni maarufu kwenye biashara za magendo kutoka Kenya kupitia Lake Victoria miaka ya 1990s. Ila ni mmoja kati ya wafanya biashara walikuwa wanatumia tindikali katika kuwatisha wafanyakazi wa TRA wakati wanadhibiti mali inayoingia nchini bila kulipia kodi. Walikuwa wanawakodi vijana na wanawatuma wakawamwagie tindikali.

Muulizeni kilichomkimbiza nchini na kwenda kuishi Zimbabwe. Alikimbia RB pale Mwanza Central Police ya kujeruhi/ kuua.
 
Unahitaji kuwa na akili nyingi sana kumuelewa Mh. Kishimba kwa hoja yako hii inayoonyesha humuelewi wewe huna akili nyingi unazo za kawaida tu.
Kwani mkuu CRIMINOLOGY ni elimu ya nini?
Usinilazimishe kuamini unacho kiamini na daima haijawahi kutokea binadamu woote duniani tukawa na akili sawa.

Wewe amini unavyo hitaji nami niache niamini ninacho kiamini.
 
Mbona siku kuona unampigia makofi mjengoni?
Huyu mbunge IQ yake kubwa sana. Alichomaanisha ni kuwa wahasibu wafundishwe Forensic audit, Fraud risk etc, ila kwa lugha yake nyie msiofahamu mtambeza sana, ila kaongea pointi muhimu sana, Tanzania watalaamu wa forensic audit, fraud si wengi ni wachache mno. Kingine wanafuzni wote iwe compulsory kwa somo la Business ethics, ili kuinstall moral behaviour kwa wahusika. Nadhani serikali ilichukulie hili jambo na kulifanyia kazi
 
Usinilazimishe kuamini unacho kiamini na daima haijawahi kutokea binadamu woote duniani tukawa na akili sawa.

Wewe amini unavyo hitaji nami niache niamini ninacho kiamini.
nakuelewa mkuu, kwa mantiki hiyohiyo mbona unamuona Mh. Kishimba kama mwenye mawazo ya ajabu wakati ni haki yake?
 
Wacha tumpongeze sana kwa wazo lake
 
Mawazo ya wana ccm ni ya kushangaza na kustaabisha aisee..mjenge vyuo vya kufundishia uharifu??? Duuh mawazo mengine ni utalii tosha
 
Ccm ndio chuo chenyewe cha wizi.Hadi ile mahakama ya mafisadi iliyofunguliwa kwa mbwembwe bila kufanya study ya kwamba wateja wakuu ni ccm,walipobaini hivo imekufa kibudu.Sipati picha Kama wezi mafisadi wangekuwa ni wapinzani nadhani ingeshajaa.
 
Mataga wa lumumba hapa jf wanapongeza sana hiyo kauli ya Kishimba
Mawazo ya wana ccm ni ya kushangaza na kustaabisha aisee..mjenge vyuo vya kufundishia uharifu??? Duuh mawazo mengine ni utalii tosha
 
Hivi yule fisadi mkata mauno aliyetumbuliwa na mkulu vipi alisha fikishwa mahakamani?
Ccm ndio chuo chenyewe cha wizi.Hadi ile mahakama ya mafisadi iliyofunguliwa kwa mbwembwe bila kufanya study ya kwamba wateja wakuu ni ccm,walipobaini hivo imekufa kibudu.Sipati picha Kama wezi mafisadi wangekuwa ni wapinzani nadhani ingeshajaa.
 
Hivi yule fisadi mkata mauno aliyetumbuliwa na mkulu vipi alisha fikishwa mahakamani?
Ccm ndio chuo chenyewe cha wizi.Hadi ile mahakama ya mafisadi iliyofunguliwa kwa mbwembwe bila kufanya study ya kwamba wateja wakuu ni ccm,walipobaini hivo imekufa kibudu.Sipati picha Kama wezi mafisadi wangekuwa ni wapinzani nadhani ingeshajaa.
 
Watz wizi ni asili yetu si juu si chini. Viongozi wanatuibia Kodi zetu,nasi tukipata mda tunaiibia serikali either tunaiba mda au pesa,baba anaiba kazini anapeleka nyumbani,mama nae anamuibia baba anatuma kwao, dada wa kazi nae anaiba anatuma kwao,shamba boy umuibia tajiri mazao,mbolea,mayai,maziwa,viroba vya chakula,ukienda buchani dukani unaibiwa sababu uendi na mizani.
Hizi tabia zinaanzia kwenye Jamii.
 
Back
Top Bottom