Mbunge wa Kahama Mjini(CCM), Jumanne Kishimba ashauri Serikali kuanzisha chuo cha wizi

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…,sasa si watatumia mbinu walizofundishwa kujinufaisha wao, halafu wataziboresha zaidi ili kuwapoteza kabisa watakao wafuatilia.
 
Ukiushughulisha zaidi ubongo wako ndipo utaona kaongea point. Alichokuwa anajaribu kusema kwa namna nyingine ya moja kwa moja ili kila mtu aelewe haraka ni kwamba; serikali inapaswa kuajiri watu smart na pia kuwapelela katika mafunzo ya mara kwa mara.

Mafunzo hayo yahusishe pamoja na mambo mengine jinai, mazingra ya jinai, mikakati, mitego, kubashiri jinai n.k. Nafikiri kitu kinachomshinda muwasilisha mada labda ni namna anayoitumia kuelezea au kutoa maoni yake. lakini point anayo.
 
Kwa kizazi hiki bado hatujamuona mbunge wa ccm akaipinga serikali, labda marehemu Filikunjombe aliweza kidogo
Tukiacha kumjadili huyu Mbunge na kuchambua falsafa ya anachoshauri utaona huwa anapinga watawala kwa staili mpya na kupendekeza solutions kwa shadow effect. Tujadili inakuwaje mpaka RPC anajiibia au judge anajihukumu!?
 
Hapo atakaye kuwa vizuri darasani ndiye atakuwa anashinda mpambano
[emoji28][emoji28][emoji28],sasa si watatumia mbinu walizofundishwa kujinufaisha wao, halafu wataziboresha zaidi ili kuwapoteza kabisa watakao wafuatilia.
 
Mkuu unataka kutuaminisha kuwa hadi karne hii bado kama taifa hatuna Ant fraud?
It's a question of language interpretation! Ametumia lugha ya wizi lakini kinachoitwa antifraud ni kile kile. Wahasibu wakifundishwa kwa makini juu ya antifraud wanajitambua wanavyobiwa au wakaguzi watajua wahasibu wanavyoiba.
 
Mkuu unataka kutuaminisha kuwa hadi karne hii bado kama taifa hatuna Ant fraud?
Ipo, lakini iko kwenye mfumo wa uchunguzi wa makosa na siyo ktk mfumo wa kawaida wa ukaguzi.
 
Akifikia hatua ya kuiomba serikali ianzishe kilimo cha bangi mnishtue. Huenda nikapata ajira ya Plantation manager [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji2398]ᡃʳᡉᡉᡐ [emoji769]
 
Alisha omba waziri husika kuwa kilimo cha bange kiruhusiwe hivyo mkuu jiandae
 
Huyu mbunge anaongea madini Sana sema inahitaji umakini kumuelewa,unaweza kuhisi vituko kumbe anamaana Sana katika pointi zake
 
Yupo sahihi ila si kwa serikali kuanzisha elimu ya wizi. Hata wazungu wanaamini mwizi humkamata mwizi mwenzie.

"Send a thief to catch a thief".
Mtume mwizi akamate mwizi mwenzie/ Mtume Malaya akamkamate Malaya mwenzie.
 
I think ana mtazamo wa tofauti ila kashindwa tu kufikisha ujumbe ipasavyo...cjajua kwann wana jf wengi wanamuona mpuuzi
But angesema chuo cha cyber crimes kianzishwe ingependeza sana tungepata ma hackers wengi wangeisaidia serikali na matukio mengi ya wizi wa mtandao
 
Unatakiwa kuwa na akili ya hali ya juu kumuelewa Mhe. huyu. Huyu Mhe. pamoja na kujiita darasa la saba mimi namuona kama kahitimu PhD!
 
Unatakiwa kuwa na akili ya hali ya juu kumuelewa Mhe. huyu. Huyu Mhe. pamoja na kujiita darasa la saba mimi namuona kama kahitimu PhD!
Duuuh wee jamaa acha kujifanya hamnazo bhana...wp duniani serikali iliwahi kuwa na chuo cha uharifu???ccm mna nn jamani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…