Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MBUNGE WA KALIUA AMEITAKA KAMPUNI YA CCECC KUWAPA VIJANA AJIRA
Mbunge Jimbo la Kaliua, Tabora Mhe. ALOYCE KWEZI ameitaka kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Inayotekeleza Mradi wa Ujenzi Reli ya KALIUA - MPANDA Kwa kiwango cha MGR kuwapatia Ajira vijana wa Wilaya ya Kaliua.
Amemtaka Mkandarasi kudumisha Mahusiano Mazuri na Jamii iliyokaribu na Mradi. Amesema hayo alipotembelea Karakana ya Zugimlole baada ya kupokea Malalamiko alipokuwa kwenye Mikutano na Wananchi jimboni