realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
Kweli nape aliona mbali kuzuia bunge live,maana aliona wooote waliongia ki ccm,hewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wangine wanaposema CCM imeirudisha nchi miaka 50 nyuma wananuna eti!Tukisema Mawazo ya wana CCM yameganda tunaonekana wafitini, sasa huyo ndio akili yake imegotea hapo.........
Taahira labda?Mara oooh!!! Vijana karagwe wanaogopa kuoa wanawake wazuri kwa sababu ya askari, huyu jamaa naishindwa nimuite jina gani.
Ha ha ha ha ha......wanataka salute?Alafu eti wapigiwe saluti