realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
Na wangine wanaposema CCM imeirudisha nchi miaka 50 nyuma wananuna eti!Tukisema Mawazo ya wana CCM yameganda tunaonekana wafitini, sasa huyo ndio akili yake imegotea hapo.........
Taahira labda?Mara oooh!!! Vijana karagwe wanaogopa kuoa wanawake wazuri kwa sababu ya askari, huyu jamaa naishindwa nimuite jina gani.
Ha ha ha ha ha......wanataka salute?Alafu eti wapigiwe saluti