Mbunge wa Karagwe aomba Rais Magufuli alipopigia push up ujengwe uwanja wa kumbukumbu!

Duuuh kwa hali hii kufikia maendeleo ni kazi sana!
 
Inasikitisha namna ambavyo wawakilishi wanakuwa waajabu kwa ajili yakujikomba kwa wakubwa wao kimadaraka,Sasa cjui Jamaa ndio uelewa wake huo?na waziri husika Kweli Kabisa anajibu maajabu,cjutii kutokupiga kura nchi hii so far
 
Mara oooh!!! Vijana karagwe wanaogopa kuoa wanawake wazuri kwa sababu ya askari, huyu jamaa naishindwa nimuite jina gani.
 
Mara nyingi huwa nasema mchakato wa kura za maoni wa kupata wagombea ubunge CCM una dosari nyingi tu. Utashangaa huyu alipenyaje!!! Karagwe ina watu makini sana!!
 
akilii za wabunge wa ccm bwanaaaa, huyu naye eti mbunge, unganisha na yule wa sanamu la diamondi, na yule anayelia bunge lisionyeshwe live
 
Mkapa amesema fuatilieni hoja za wabunge vijana bungeni,, rais alisema utawala wake utasheheni vijana,,, ndo Hawa sasa,,
 
Hivi hakuna sheria ya kumvua ubunge?
Wananchi waliliona hili na kumwomba Mzee Warioba aliweke katika muswada wa katiba mpya, lakini ndugu zetu wa CCM kwa kujua hali zao zilivyo waliikataa Katiba ya Wananchi. Ule Muswada wa Katiba ya Wananchi ulikuwa na majibu karibia asilimia 90 ya masuala ambayo JPM anahangaika nayo leo hii kwa kutumia mkono mmoja wa chuma! Inasikitisha sana.
 
Siyo ajabu,maana nilivyosoma kichwa cha Habari tu basi nikajua,hii hoja ni ya mbunge wa Ccm,nikajua ndyo zile zile hoja kama akina Goodluck na Agnes.
 
NNi balaa mkuu........sijui mtu kama huyo familia yake inajisikiaje wanapomsikia mzazi anaongea kama hivyo?
Mkuu,familia ilishazoea pumba na isitoshe iliona kama ni bonge la hoja,maana maji hufuata mkondo
 
Hoja za kuchangia zlhamna,muda bado mwingi wa kuchora mazombie
 
Anawakilisha mawazo ya wanajimbo wake[emoji23]
 
Wote wamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…