Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Ijengwe pia sanamu ya Mamvi mahali zoezi la kuzungusha mikono lilipozinduliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikiwasikiliza hao jamaa wawili najiona kumbe mimi naweza hata kuwa waziri mkuu maana ni mpaka aibu kwa kweli, hivi kama kiongozi wao ni hivyo sasa hao wananchi walio wachagua wako vipi kiakili? sitaki kuwatukana watu lakini ukiona familia baba mlevi mama ndio hivyo kina kaka ndio balaa utajuwa tu hii sio familia ya kuowa. wewe sasa ni waziri bado unaleta maneno ya kumkashifu aliyekuwa mgombea wa uraisi wakati mambo ya uchaguzi yameisha na wewe ni waziri wa watu wote. usimtukane mtu mgonjwa wakati wewe uko safarini basi angemsema pia speaker wake wa bunge. katika watu nawachukia huyu jamaa ndio maana mjini alipigwa chini uchaguzi wa mchujo tu akaona akimbilie bush.Wote walewale,alieuliza swali na aliyejibu,wananchi wa jimbo la Mtama na Karagwe wapime akili