Anajua anachokifanya. Ukifikiria nguvu kubwa kupita kiasi ambayo ilitumika kumpa ubunge huyu mtu, unajiuliza mara mbili mbili, hivi ni nani ameturoga?Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema:
"Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote.
Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope mnapoambiwa kwamba kuna phase ya pili ya Covid-19. Kilicho na nguvu nyuma ya Covid-19 ni woga uliotengenezwa juu ya Covid-19. The fear of Covid-19 is even [more] powerful than Covid-19 itself (Woga wa Covid-19 una nguvu zaidi ya ugonjwa wenyewe)
Watanzania wote na watu wote, tushinde woga. Tusiogope, tumeshinda na tusonge mbele. Na msimamo wetu wa kutokuchanjwa na msimamo wetu wa kutokufanya social distancing ni msimamo sahihi na utatufikisha mahala sahihi."
Hivi mtu kama huyu anaweza akawa ana akili timamu?
Sijaelewa hapa ingawa nimeweza kusoma. Wapi hii?Bora huyu!
Je, aliyesema wafungwa wachukue nafasi ya askari magereza waliostaafu
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Ni ujinga uliopotiliza kwako,kama unaamini ugonjwa huo upo kwanini isijikinge peke yako kwa kuchukia Hatua hizo unazoona zinafaa?Huyo ni 'Saidia Fundi' wa jiwe, kila anachoropoka Jua kabisa kina baraka za Jiwe. Ukitaka Kuamini Subiri speech ijayo ya Jiwe utasikia baadhi ya Conspiracy theories zake zenye mlengo kama huu.
Unavyoonekana huu ndio mkakati wao.Aisee inasikitisha sana mpuuzi huyu anawadanganya wananchi wasichukue hatua muhimu alafu na waziri wa afya yupo hapo-hapo bungeni anapiga makofi.
Kibwetere of our time.Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema:
"Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote.
Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope mnapoambiwa kwamba kuna phase ya pili ya Covid-19. Kilicho na nguvu nyuma ya Covid-19 ni woga uliotengenezwa juu ya Covid-19. The fear of Covid-19 is even [more] powerful than Covid-19 itself (Woga wa Covid-19 una nguvu zaidi ya ugonjwa wenyewe)
Watanzania wote na watu wote, tushinde woga. Tusiogope, tumeshinda na tusonge mbele. Na msimamo wetu wa kutokuchanjwa na msimamo wetu wa kutokufanya social distancing ni msimamo sahihi na utatufikisha mahala sahihi."
Hivi mtu kama huyu anaweza akawa ana akili timamu?
KWA fikra hizi, na watu Hawa Hawa tunasafari ndefu ya kufika mahala, hatuwezi fika leo, baadhi ya watu tz wanatufanya watanzania wote kuonekana wajinga katika nchi zinazotuzunguka,achana na mataifa mengine, itafika mda mtazania kufanya kazi kwenye mataifa mengine itakua ngum, hata Kama unavigezo watakuona bado ni kilaza,Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema:
"Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote.
Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope mnapoambiwa kwamba kuna phase ya pili ya Covid-19. Kilicho na nguvu nyuma ya Covid-19 ni woga uliotengenezwa juu ya Covid-19. The fear of Covid-19 is even [more] powerful than Covid-19 itself (Woga wa Covid-19 una nguvu zaidi ya ugonjwa wenyewe)
Watanzania wote na watu wote, tushinde woga. Tusiogope, tumeshinda na tusonge mbele. Na msimamo wetu wa kutokuchanjwa na msimamo wetu wa kutokufanya social distancing ni msimamo sahihi na utatufikisha mahala sahihi."
Hivi mtu kama huyu anaweza akawa ana akili timamu?
Huyu hii Corona ingepita naye ingependeza zaidiWakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema:
"Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote.
Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope mnapoambiwa kwamba kuna phase ya pili ya Covid-19. Kilicho na nguvu nyuma ya Covid-19 ni woga uliotengenezwa juu ya Covid-19. The fear of Covid-19 is even [more] powerful than Covid-19 itself (Woga wa Covid-19 una nguvu zaidi ya ugonjwa wenyewe)
Watanzania wote na watu wote, tushinde woga. Tusiogope, tumeshinda na tusonge mbele. Na msimamo wetu wa kutokuchanjwa na msimamo wetu wa kutokufanya social distancing ni msimamo sahihi na utatufikisha mahala sahihi."
Hivi mtu kama huyu anaweza akawa ana akili timamu?
Huyu alikua rais wetu kipenzi cha watanzania alisema kuliko watoee ajira za askari magereza ni bora wakawapa wafungwa wazoefuSijaelewa hapa ingawa nimeweza kusoma. Wapi hii?
Kuna mahali nimelazimisha mtu kujikinga.? acha Kuharisha kwa kupitia mdomoni.Ni ujinga uliopotiliza kwako,kama unaamini ugonjwa huo upo kwanini isijikinge peke yako kwa kuchukia Hatua hizo unazoona zinafaa?
Kila mtu anahisia zake zaweza kuwa sawa au la!!
Inanikumbusha yule waziri wa ulinzi wa Iraq aliyesema majeshi ya Marekani yamedhibitiwa na hayawezi kushinda vita na muda mfupi baadaye mji mkuu ukatekwaWakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema: