#COVID19 Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima asema kutokufanya social distancing wakati huu wa Covid-19 ni msimamo sahihi

Nafikiri serikali inashindwa kutupa jibu kamili la kama tatizo la Corona nili kubwa kiasi cha kutufanya kuchukua hatua zinazo chukuliwa na nchi zingine kama vile lockdown. Ina wezekana kwa kiasi kikubwa kwamba

1. Tatizo la Corona halipo
2. Tatizo la Corona lipo lakini sio kwa kiasi ambacho ni hatari kwa wananchi
3. Tatizo la Corona lipo kwa kiasi kikubwa, wengi wame athirika, lakini lockdown imepigwa marufuku...
 
Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema:

"Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote.

Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope mnapoambiwa kwamba kuna phase ya pili ya Covid-19. Kilicho na nguvu nyuma ya Covid-19 ni woga uliotengenezwa juu ya Covid-19. The fear of Covid-19 is even [more] powerful than Covid-19 itself (Woga wa Covid-19 una nguvu zaidi ya ugonjwa wenyewe)

Watanzania wote na watu wote, tushinde woga. Tusiogope, tumeshinda na tusonge mbele. Na msimamo wetu wa kutokuchanjwa na msimamo wetu wa kutokufanya social distancing ni msimamo sahihi na utatufikisha mahala sahihi."

Hivi mtu kama huyu anaweza akawa ana akili timamu?
Anajua anachokifanya. Ukifikiria nguvu kubwa kupita kiasi ambayo ilitumika kumpa ubunge huyu mtu, unajiuliza mara mbili mbili, hivi ni nani ameturoga?
 
Bora huyu!

Je, aliyesema wafungwa wachukue nafasi ya askari magereza waliostaafu

[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Sijaelewa hapa ingawa nimeweza kusoma. Wapi hii?
 
Mr. Amphifirooo kaibuna Tena?!
Huyu sioni utofauti wake na shemeji yake katika uropokaji tu 😆😆
 
Huyo ni 'Saidia Fundi' wa jiwe, kila anachoropoka Jua kabisa kina baraka za Jiwe. Ukitaka Kuamini Subiri speech ijayo ya Jiwe utasikia baadhi ya Conspiracy theories zake zenye mlengo kama huu.
Ni ujinga uliopotiliza kwako,kama unaamini ugonjwa huo upo kwanini isijikinge peke yako kwa kuchukia Hatua hizo unazoona zinafaa?

Kila mtu anahisia zake zaweza kuwa sawa au la!!
 
Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema:

"Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote.

Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope mnapoambiwa kwamba kuna phase ya pili ya Covid-19. Kilicho na nguvu nyuma ya Covid-19 ni woga uliotengenezwa juu ya Covid-19. The fear of Covid-19 is even [more] powerful than Covid-19 itself (Woga wa Covid-19 una nguvu zaidi ya ugonjwa wenyewe)

Watanzania wote na watu wote, tushinde woga. Tusiogope, tumeshinda na tusonge mbele. Na msimamo wetu wa kutokuchanjwa na msimamo wetu wa kutokufanya social distancing ni msimamo sahihi na utatufikisha mahala sahihi."

Hivi mtu kama huyu anaweza akawa ana akili timamu?
Kibwetere of our time.
 
Hakuna kipindi cha ovyo na ambacho tumefanywa wapumbavu na mtawala kama kipindi hiki.
 
Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema:

"Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote.

Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope mnapoambiwa kwamba kuna phase ya pili ya Covid-19. Kilicho na nguvu nyuma ya Covid-19 ni woga uliotengenezwa juu ya Covid-19. The fear of Covid-19 is even [more] powerful than Covid-19 itself (Woga wa Covid-19 una nguvu zaidi ya ugonjwa wenyewe)

Watanzania wote na watu wote, tushinde woga. Tusiogope, tumeshinda na tusonge mbele. Na msimamo wetu wa kutokuchanjwa na msimamo wetu wa kutokufanya social distancing ni msimamo sahihi na utatufikisha mahala sahihi."

Hivi mtu kama huyu anaweza akawa ana akili timamu?
KWA fikra hizi, na watu Hawa Hawa tunasafari ndefu ya kufika mahala, hatuwezi fika leo, baadhi ya watu tz wanatufanya watanzania wote kuonekana wajinga katika nchi zinazotuzunguka,achana na mataifa mengine, itafika mda mtazania kufanya kazi kwenye mataifa mengine itakua ngum, hata Kama unavigezo watakuona bado ni kilaza,
 
ukishakuwa tapeli hadi ktk mambo ya kiroho basi utapeli huo utaandamana nawe hadi mauti na jehenamu ndio kutakuwa home kwako.
 
Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema:

"Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote.

Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope mnapoambiwa kwamba kuna phase ya pili ya Covid-19. Kilicho na nguvu nyuma ya Covid-19 ni woga uliotengenezwa juu ya Covid-19. The fear of Covid-19 is even [more] powerful than Covid-19 itself (Woga wa Covid-19 una nguvu zaidi ya ugonjwa wenyewe)

Watanzania wote na watu wote, tushinde woga. Tusiogope, tumeshinda na tusonge mbele. Na msimamo wetu wa kutokuchanjwa na msimamo wetu wa kutokufanya social distancing ni msimamo sahihi na utatufikisha mahala sahihi."

Hivi mtu kama huyu anaweza akawa ana akili timamu?
Huyu hii Corona ingepita naye ingependeza zaidi
 
Ni ujinga uliopotiliza kwako,kama unaamini ugonjwa huo upo kwanini isijikinge peke yako kwa kuchukia Hatua hizo unazoona zinafaa?

Kila mtu anahisia zake zaweza kuwa sawa au la!!
Kuna mahali nimelazimisha mtu kujikinga.? acha Kuharisha kwa kupitia mdomoni.
 
Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema:

"Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote.

Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope mnapoambiwa kwamba kuna phase ya pili ya Covid-19. Kilicho na nguvu nyuma ya Covid-19 ni woga uliotengenezwa juu ya Covid-19. The fear of Covid-19 is even [more] powerful than Covid-19 itself (Woga wa Covid-19 una nguvu zaidi ya ugonjwa wenyewe)

Watanzania wote na watu wote, tushinde woga. Tusiogope, tumeshinda na tusonge mbele. Na msimamo wetu wa kutokuchanjwa na msimamo wetu wa kutokufanya social distancing ni msimamo sahihi na utatufikisha mahala sahihi."

Hivi mtu kama huyu anaweza akawa ana akili timamu?
Inanikumbusha yule waziri wa ulinzi wa Iraq aliyesema majeshi ya Marekani yamedhibitiwa na hayawezi kushinda vita na muda mfupi baadaye mji mkuu ukatekwa
 
The guy is a bit INSANE....................Eee Mungu waoneshe mfano yawapate ili akili iwaingie.
 
Hapa kama mwalimu watoto wameelewa maana kila mmoja hataki kuelewa kuhusu covid
Yaan nadhan kama ugonjwa ukija kweli hakuna atakae pona maana c viongozi wala raia
 
Back
Top Bottom