Mbunge wa Kenya Babu Owino amtaka Rais Samia, kueleza sababu za kuzuiliwa na kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania

Mbunge wa Kenya Babu Owino amtaka Rais Samia, kueleza sababu za kuzuiliwa na kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amemwandikia barua ya kumtaka Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutoa maelezo kamili ya kuzuiliwa kwake na sababu za kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania.

1738586985330.png
Babu Owino alidai kuwa alizuiliwa kwa saa tatu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Tanzania.

1738587049578.png
Katika barua hiyo ya Februari 3, 2025, Owino anaeleza jinsi alivyokataliwa kuingia Tanzania Desemba 2024 na kuzuiliwa kwa saa tatu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kuelezwa kuwa jina lake lipo kwenye orodha ya wanaotafutwa na Interpol, jambo lililosababisha kuwekwa kizuizini.

Snapinst.app_476152758_18488723731028316_2422677859242557351_n_1080.jpg

Snapinst.app_476166255_18488723722028316_1264562066745381164_n_1080.jpg
 
WhatsApp Image 2025-02-03 at 16.44.34_4974fd66.jpg

Embakasi East Member of Parliament Babu Owino has penned a demand letter to Tanzanian President Samia Suluhu Hassan.

In the letter dated February 3, the MP recalled how he was denied entry to the East African nation a month ago before asking the President to write back highlighting reasons for his ban.

“I am placing this special request to your office to appraise me in writing on the reasons why I am not allowed to enter into Tanzania for business, or as a representative of the people of Kenya, or as a friend of the people of Tanzania and for any other legitimate reasons,” part of the statement read.

In his letter, Owino, whose formal name is Paul Ongili, relayed that in December 2024 he was detained at the Julius Nyerere International Airport upon arrival in Tanzania and denied entry.
WhatsApp Image 2025-02-03 at 16.44.34_0ccd70be.jpg

WhatsApp Image 2025-02-03 at 16.44.35_93bb8375.jpg
Tanzanian President Samia Suluhu

Tanzanian President Samia Suluhu Photo Samia Suluhu

Reportedly, staff at the airport informed him that his name was on the list of persona non grata in Tanzania.

“I write to bring to your attention that when I recently visited Tanzania in December 2024 upon arrival at the airport in Dar es Salaam, your immigration officers rejected my passport and casually informed me that I am on the list of persona non grata in Tanzania,” Owino wrote.

“In total violation of my rights to freedom of movement, they detained me for some time at Julius Nyerere International Airport.”

This unforeseen outcome led the Kenyan MP to decry the violation of his right not just as an East African Citizen but also as a representative of the Kenyan Parliament which grants him the right of entry to Tanzania.

"I am a citizen of the East African Community, specifically Kenya, for that matter. I am an elected Member of the Kenyan Parliament, which is duly represented in EALA, whose seat is in Tanzania," his letter continued.

"Both the Universal Declaration of Human Rights and the International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR) guarantee persons rights of movement into and out of nations upon following due process, which I did."

He further stated that the East African Treaty and the East African Community Common Market (Free Movement of Persons) Regulations provide for the free movement of citizens of partner states.

"Lastly, Kenya, as a sovereign state, issues travelling passports to her citizens, which are recognized by other states under international law. All those rights and fundamental freedoms apply to me as a citizen of this planet," he concluded.

On Saturday, February 1, Owino relayed that he had been detained for three hours at the airport for supposedly being on Interpol's most wanted list in Uganda and Tanzania.

"The other day, I went to Tanzania, and when I arrived at the Dar es Salaam airport and provided my passport to be cleared by the immigration, I was shocked to see my name listed as one of the people on the Interpol wanted list," Owino revealed.

"So unfortunate how Tanzania Government put me on the Most Wanted Interpol List. President Suluhu owes me an apology."

Source: kenyans.co.ke
 
Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amemwandikia barua ya kumtaka Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutoa maelezo kamili ya kuzuiliwa kwake na sababu za kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania.

Babu Owino alidai kuwa alizuiliwa kwa saa tatu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Katika barua hiyo ya Februari 3, 2025, Owino anaeleza jinsi alivyokataliwa kuingia Tanzania Desemba 2024 na kuzuiliwa kwa saa tatu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kuelezwa kuwa jina lake lipo kwenye orodha ya wanaotafutwa na Interpol, jambo lililosababisha kuwekwa kizuizini.

Upuuzi yeye nani wa kutaka majibu toka kwa raisi!
 
immigration officers rejected my passport and casually informed me that I am on the list of persona non grata in Tanzania,” Owino wrote.

Ina maana mbunge Babu Owino vyombo vyote vya usalama Uganda na Tanzania vinamfuatili kwa ukaribu sana.

TOKA MAKTABA:

museveni na kagame wamuone lissu ni mpinzani wao na watake

INTELEJENSIA YA UGANDA INAVYOFANYA KAZI:
Rais Yoweri Museveni akielezea kuwa vyombo vyake vya intelejensia vinampa taarifa zote ikiwemo za kutoka nchi za jirani na zile za mbali :

View: https://m.youtube.com/watch?v=ROi04uOHoKU
kuhusu mbunge Babu Owino aliyemchambua Rais wa Uganda Yoweri Museveni? Akinukuu kile alichokiita ripoti za kijasusi, Kiongozi wa Uganda alimpigia simu mbunge huyo wa Embakasi Mashariki Nchini kenya akisema Babu Owino amekuwa akifanya kazi na watu wanaoipinga serikali yake....

“There are some individuals in Raila’s group who I don’t think know what they are doing. You know I am a consumer of intelligence service. So, I always see intelligence reports. There is a character called Babu. I always see Babu dealing with anti-NRM groups,” said Museveni.

The Ugandan president, however, delinked Babu from Raila saying he knows the latter as a nationalist.

Babu has been previously spotted campaigning for former Ugandan Presidential aspirant Robert Kyagulanyi Ssentamu popularly known as Bobi Wine.

In 2018, the Ugandan government banned Babu from entering Uganda over undermining President Museveni’s administration.
 
Hawa wajinga sio wakuchekea hata kidogo..

Kapiga watu risas kenya wamekuwa vilema mpaka leo na bado yupo nje..

Persona non grata is the best gift for him.. akwende kefule
 
Ina maana mbunge Babu Owino vyombo vyote vya usalama Uganda na Tanzania vinamfuatili kwa ukaribu sana.

TOKA MAKTABA:

INTELEJENSIA YA UGANDA INAVYOFANYA KAZI:
Rais Yoweri Museveni akielezea kuwa vyombo vyake vya intelejensia vinampa taarifa zote ikiwemo za kutoka nchi za jirani na zile za mbali :

View: https://m.youtube.com/watch?v=ROi04uOHoKU
kuhusu mbunge Babu Owino aliyemchambua Rais wa Uganda Yoweri Museveni? Akinukuu kile alichokiita ripoti za kijasusi, Kiongozi wa Uganda alimpigia simu mbunge huyo wa Embakasi Mashariki Nchini kenya akisema Babu Owino amekuwa akifanya kazi na watu wanaoipinga serikali yake....

Kumbe anaingilia mambo ya ndaninya nchi ya Uganda isiyo yake

Halafu anabweka .Tanzania akija mkamateni mumkabidhi kwa Museveni
 
Amezingua tu hapo mwishoni aliposema

"a Kiswahili translation of this letter can be availed upon your request"

Yaani Ikulu nzima wasijue alichozungumza au wanadeal tu na Kiswahili?, sio issue lakini naona ni udwanzi
 
Back
Top Bottom