zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mbona ruto endorsed Museveni, in fact Ruto akiwa VP alimpigia kampeni Museveni maeneo ya Mashariki na kaskazini Uganda yenye jamii ya kalenjins!! Ila akifanya Owino ndio makosa?Kumbe anaingilia mambo ya ndaninya nchi ya Uganda isiyo yake
Halafu anabweka .Tanzania akija mkamateni mumkabidhi kwa Museveni