Mbunge wa Kenya Babu Owino amtaka Rais Samia, kueleza sababu za kuzuiliwa na kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania

Mbunge wa Kenya Babu Owino amtaka Rais Samia, kueleza sababu za kuzuiliwa na kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania

Kumbe anaingilia mambo ya ndaninya nchi ya Uganda isiyo yake

Halafu anabweka .Tanzania akija mkamateni mumkabidhi kwa Museveni
Mbona ruto endorsed Museveni, in fact Ruto akiwa VP alimpigia kampeni Museveni maeneo ya Mashariki na kaskazini Uganda yenye jamii ya kalenjins!! Ila akifanya Owino ndio makosa?
 
Mbona ruto endorsed Museveni, in fact Ruto akiwa VP alimpigia kampeni Museveni maeneo ya Mashariki na kaskazini Uganda yenye jamii ya kalenjins!! Ila akifanya Owino ndio makosa?
Owino ni Raisi au Makamu wa Raisi?
 
Huyo mpuuzi he is very arrogant kwa kusoma hiyo paragraphs ya mwisho.

Halafu kwanini analalamika kwa Tanzania wakati zuio ni la Interpol!? Kwanza HQ ya Interpol hapa EA iko kwao huko Nairobi angeenda kuuliza huko.

Huku Dar ni wamefata order tu. Akawaulize hao interpol atapata majibu yake.
 
A Kiswahili translation of this letter can be availed upon your request...

Sasa kama haelewi Kingereza hatajuaje kama kapewa option ya Kiswahili ?
 
Back
Top Bottom