Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ajitosa urais wa TFF

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ajitosa urais wa TFF

Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Uyo ndo atakuja kusambaratisha kabisa mpira wa miguu...kwanza atadumisha umezani kwa club yake ya mezani sc
 
Bora zito kuliko huyu aliyeshindwa mpaka katushusha kutoka nafasi ya 91 mpaka 138sijui.Tena katusababishia uzururaji kimataifa.Tunahitaji mtu atakae turudisha kwenye nafasi ya kwanza Afrika mashariki na kuwa na timu za kupambana kimataifa sio hawa wakujisifia kupanda ndege.
 
H
Naona wanasiasa, hasa wa vyama vya upinzani, wakiendelea kujiimarisha katika anga zingine mbali na siasa na safari hii mwanasiasa mwingine wa upinzani, Zitto Zuberi Kabwe nae anatajwa kujitosa kugombea urais wa Shirikisho la Mpira Nchini(TFF) kama ambavyo mwanasiasa mwenzake wa upinzani,Tundu Lissu alivyojitosa na hatimae kushinda uraisi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika(TLS) hivi karibuni.

Habari ya Zitto kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi wa TFF imeripotiwa katika gazeti la MwanaSport la siku ya leo.

Swali ni je,zile figisufigisu za kisiasa alizofanyiwa Lissu wakati anataka kugombea uraisi wa TLS tutaziona tena kwa Zitto?

Tusubiri.
Hana vigezo..

ni lazima uwe ushawahi kuwa kiongozi wa mpira, either club au chama chama mpira kinachotambuliwa na TFF si chini ya miaka mitano. Zito hana vigezo hivyo
 
Back
Top Bottom