Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Malinzi na Mwesigwa wanavyowatesa SimbaWacha aje kuisaidia Simba Koko kupata points za mezani.
SImba ni timu ya hovyo
Simba wameteswa na Kagera Sugar uwanjani, haya mengine ya mezani ni mambo ya kikeKama Malinzi na Mwesigwa wanavyowatesa Simba
We kweli mtoka pabaya.....pumbavu sanaWacha aje kuisaidia Simba Koko kupata points za mezani.
SImba ni timu ya hovyo
Mambo ya kike kama Malinzi na Serengeti boys kwenda Gabon?Simba wameteswa na Kagera Sugar uwanjani, haya mengine ya mezani ni mambo ya kike
Tatizo lako elimu wewe ndio hovyo kabisaWacha aje kuisaidia Simba Koko kupata points za mezani.
SImba ni timu ya hovyo
Tatizo lako elimu ndogo weweWacha aje kuisaidia Simba Koko kupata points za mezani.
SImba ni timu ya hovyo
Huyo ni pimbi tuu achana naeAcha ushabiki wa kijinga.
Usipende kutanguliza ushuzi mbele harufu chafu itakupiga mwenyewe mamaaeee
Huyo ni pimbi tuu achana naeAcha ushabiki wa kijinga.
Usipende kutanguliza ushuzi mbele harufu chafu itakupiga mwenyewe mamaaeee
Hana vigezo..Naona wanasiasa, hasa wa vyama vya upinzani, wakiendelea kujiimarisha katika anga zingine mbali na siasa na safari hii mwanasiasa mwingine wa upinzani, Zitto Zuberi Kabwe nae anatajwa kujitosa kugombea urais wa Shirikisho la Mpira Nchini(TFF) kama ambavyo mwanasiasa mwenzake wa upinzani,Tundu Lissu alivyojitosa na hatimae kushinda uraisi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika(TLS) hivi karibuni.
Habari ya Zitto kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi wa TFF imeripotiwa katika gazeti la MwanaSport la siku ya leo.
Swali ni je,zile figisufigisu za kisiasa alizofanyiwa Lissu wakati anataka kugombea uraisi wa TLS tutaziona tena kwa Zitto?
Tusubiri.
Umafiki Tz ndo zetu, akipondwa huku kumbe ipande wa pili mko nae simba au yanga, dah!Leo Zitto kawa mpinzani...?