Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

CCM oyeeeeeee hio nyama waichome wakaange wakulane kama watawezeana
 
Kuna wengine wanatembea na silaha aina ya RUNGU wakati wa kampeni na ukizingua wanakupiga ya kisogo unazimia. ni vizuri wakaguliwe kubaini idadi
cc 🔊
 
Kuna mmoja ni marehemu kwa sasa,niliwahi kutana naye miaka ya nyuma huko Kilombero,nikaambiwa alilazwa siku tatu kwenye jeneza. Hawa jamaa ni washirikina,wezi,majangili,waongo,wazinzi,wanafiki na wauaji wakubwa. Kiujumla hawa ni wafuasi wa yule jamaa aliyetupwa duniani.
Ukiwapekeua viongozi wa ccm majumbani mwao kama hivi si ajabu ukakuta hata vichwa vya watu.

Mashetani makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana CCM wenzangu tumeisha yerewiii aika mai
 
Hii biashara imewapa utajili sana watu walio na mawasiliano na nchi za kiarabu. Ndo maana wanakatalia maeneo yenye Mbunga: Gairo, Mikumi, Morogoro, Katavi na Sumbawanga. Wanajifanya wana biashara za magari na mafuta, kumbe ni sehemu za kuficha nyara za taifa.
 
Sijui kwanini hawa ndugu zetu wenye asili ya damu ya mecca wanapenda sana hizi mambo za uwindaji,mbaya zaidi hawana ustaarabu kwenye uwindaji.
Waangalie wote walioko Morogoro, Arusha, Gairo, Mikumi, Katavi, nk. wote wana biashara ya magari. hayo ndo hutumika kusafirishia nyara, hasa tankers.
 
Tuwe makini na hizi habari hawa wasiojulikana kuna kitu wanataka kuficha
 
Kesi itaoneshwa oneshwa apooo badae anaachiwa kama alivyoachiwa mdogo wa 'lilehindi'.
Hakuna fisadi ama jangili mwanasiasa aliyehukumiwa kifungo stahili sheria kali ni kwaajili yetu tusiojuana na viongozi kama wanavyotuita kwadharau Wanyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…