dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
waoe tu waunganishe vikojoleo kihalali π
DS msanii sana. Awape na ofa ya siku 7 honeymoon pale DS hotel Makambako au DodomaKama wewe ni mpiga kura wa Makambako na ni kijana wa kiume unayetarajiwa kuoa basi Tangazo hili linakuhusu
Fika Ofisi ya Mbunge mh Deo Sanga aka Jah people kwa Ufadhili huu wa Ndoa
Nawatakia Dominica Njema π
Pesa zake nibza mizimu huja kuchukua na zako .....hawataenda wanamjua musee ya kafara....pamoja yule aliua mwanafunzi kwa ajali Dodoma hizo familia ogopwa sana makanbakoKama wewe ni mpiga kura wa Makambako na ni kijana wa kiume unayetarajiwa kuoa basi Tangazo hili linakuhusu
Fika Ofisi ya Mbunge mh Deo Sanga aka Jah people kwa Ufadhili huu wa Ndoa
Nawatakia Dominica Njema π
Umetupunguza thamani kiasi gani.mahari hamsini elfu.msichanaMahari 50,000 labda kwa waislamu ndo hawana mambo mengi kwenye suala la ndoa.
Upande wa pili mahari milioni 3 halafu ndoa zinakuwa ndoano.
Baki hivyo hivyo.Alikwambia mahali ni thaman ya mwanamke nan?Umetupunguza thamani kiasi gani.mahari hamsini elfu.msichana
Mwambieni kwamba kazi ya hela za mfuko wa Jimbo siyo hiyoKama wewe ni mpiga kura wa Makambako na ni kijana wa kiume unayetarajiwa kuoa basi Tangazo hili linakuhusu
Fika Ofisi ya Mbunge mh Deo Sanga aka Jah people kwa Ufadhili huu wa Ndoa
Nawatakia Dominica Njema π
Acha uongo, hukuishia hapo! Uliendelea zaidi hata kuchukua jukumu la kuandika reply!Nilipoona heading yako umeandika Mahali badala ya Mahari nikaishia hapo.