Mbunge wa Makambako (Jah People) atangaza kuwachangia Fedha Vijana watakaotaka Kuoa au Kuolewa

Mahari 50,000 labda kwa waislamu ndo hawana mambo mengi kwenye suala la ndoa.

Upande wa pili mahari milioni 3 halafu ndoa zinakuwa ndoano.
Jitu jeusi tii kama tako la Iddi Amini linashadadia mila za kiarabu. Uskute hapo na uweusi wako tiii una sijdah na inaonekana.
 
Muendelezo ni uleule KATAA NDOA na huyo mbunge ikwezakana pia mkataeni Wanamakambako msidanganywe na wanasiasa
 
Angekua anataka kuwasaidia si angetafuta namna nzuri zaidi kama kuwa na vikundi vya vijana wawe na viwanda vidogo vidogo au kuwa na mashamba ya Kilimo kuliko kujifanya kugawa pesa kumbe pana vitu vipo nyuma ya Pazia pesa za Makambako ni hatari kuliko hatari yenyewe...
 
Ndoa Ingekuwa Ndiyo Huo Mpunga Wa Mawazo Basi Tanzania Wote Wangeoa/Kuolewa
 
Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo.
Kwani waliopo hawatoshi? Au kuna upungufu wa wapigakura?
 
Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo.

Amesema hayo wakati akiongea na Wananchi wa Kijiji cha Mawande kilichopo Kata ya Utengule ambapo amesema ili kupata fedha kila Kijana mwenye dhamira hiyo anapaswa kutoa taarifa rasmi kwa Viongozi wa Serikali za Vijiji vyao na kwenda katika ofisi yake kupata fedha hiyo.

"Kwa kila Kijana anayetaka kuoa ama kuolewa katika Jimbo langu nitamchangia kiasi cha Tsh. Laki moja na anayetaka kutoa mahari nitamchangia Tsh. Elfu 50 kupitia kampuni yangu ya Jah People, pelekeni kadi au uthibitisho wa matukio hayo kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa au Kijiji kwenye kituo changu cha mafuta mtakutana na Mtu anaitwa Neto atatoa mchango wangu"

Ikumbukwe kuwa Mbunge huyo hajaanza sasa kutoa fedha hizo kwa Vijana wanaohitaji kufunga ndoa ambapo amesema jambo kubwa linalofanyika ni uboreshaji kwenye namna ya utoaji wa fedha kutokana na shughuli nyingi alizonazo.
Pesa ya DPW inasafisha hasira za watanzania, mtawakubali tu.
 
Pesa zake nibza mizimu huja kuchukua na zako .....hawataenda wanamjua musee ya kafara....pamoja yule aliua mwanafunzi kwa ajali Dodoma hizo familia ogopwa sana makanbako
😂😂😂 Usigope

Mjombba wake Deo ambaye ni Mganga wa Wakinga wote alishaokoka na kujisalimisha Kanisani

Festo anamuita Deo mjomba 😂😂
 
Mahari 50,000 labda kwa waislamu ndo hawana mambo mengi kwenye suala la ndoa.

Upande wa pili mahari milioni 3 halafu ndoa zinakuwa ndoano.
yah si unajua ndoa sio kilimo cha mchicha.

ukiamua kuoa basi umeamua jambo kubwa jema.
 
Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo.

Amesema hayo wakati akiongea na Wananchi wa Kijiji cha Mawande kilichopo Kata ya Utengule ambapo amesema ili kupata fedha kila Kijana mwenye dhamira hiyo anapaswa kutoa taarifa rasmi kwa Viongozi wa Serikali za Vijiji vyao na kwenda katika ofisi yake kupata fedha hiyo.

"Kwa kila Kijana anayetaka kuoa ama kuolewa katika Jimbo langu nitamchangia kiasi cha Tsh. Laki moja na anayetaka kutoa mahari nitamchangia Tsh. Elfu 50 kupitia kampuni yangu ya Jah People, pelekeni kadi au uthibitisho wa matukio hayo kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa au Kijiji kwenye kituo changu cha mafuta mtakutana na Mtu anaitwa Neto atatoa mchango wangu"

Ikumbukwe kuwa Mbunge huyo hajaanza sasa kutoa fedha hizo kwa Vijana wanaohitaji kufunga ndoa ambapo amesema jambo kubwa linalofanyika ni uboreshaji kwenye namna ya utoaji wa fedha kutokana na shughuli nyingi alizonazo.
Hongera zake kwa ukarimu huo. Lakini hao vijana wakishaoana watakula nini? Si bora angewasaidia kujikwamua kiuchumi ili hatimaye waweze kuigharamia na kuihudumia ndoa yao wenyewe?
 
Back
Top Bottom