Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Jitu jeusi tii kama tako la Iddi Amini linashadadia mila za kiarabu. Uskute hapo na uweusi wako tiii una sijdah na inaonekana.Mahari 50,000 labda kwa waislamu ndo hawana mambo mengi kwenye suala la ndoa.
Upande wa pili mahari milioni 3 halafu ndoa zinakuwa ndoano.
Kibwagizo Chetu Pendwa TanzaniaMuendelezo ni uleule KATAA NDOA na huyo mbunge ikwezakana pia mkataeni Wanamakambako msidanganywe na wanasiasa
Kwani waliopo hawatoshi? Au kuna upungufu wa wapigakura?Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo.
Pesa ya DPW inasafisha hasira za watanzania, mtawakubali tu.Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo.
Amesema hayo wakati akiongea na Wananchi wa Kijiji cha Mawande kilichopo Kata ya Utengule ambapo amesema ili kupata fedha kila Kijana mwenye dhamira hiyo anapaswa kutoa taarifa rasmi kwa Viongozi wa Serikali za Vijiji vyao na kwenda katika ofisi yake kupata fedha hiyo.
"Kwa kila Kijana anayetaka kuoa ama kuolewa katika Jimbo langu nitamchangia kiasi cha Tsh. Laki moja na anayetaka kutoa mahari nitamchangia Tsh. Elfu 50 kupitia kampuni yangu ya Jah People, pelekeni kadi au uthibitisho wa matukio hayo kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa au Kijiji kwenye kituo changu cha mafuta mtakutana na Mtu anaitwa Neto atatoa mchango wangu"
Ikumbukwe kuwa Mbunge huyo hajaanza sasa kutoa fedha hizo kwa Vijana wanaohitaji kufunga ndoa ambapo amesema jambo kubwa linalofanyika ni uboreshaji kwenye namna ya utoaji wa fedha kutokana na shughuli nyingi alizonazo.
πππ UsigopePesa zake nibza mizimu huja kuchukua na zako .....hawataenda wanamjua musee ya kafara....pamoja yule aliua mwanafunzi kwa ajali Dodoma hizo familia ogopwa sana makanbako
Mwambie Sugu alitaka kuoa amuone Deo π€£π€£πΌMwambieni kwamba kazi ya hela za mfuko wa Jimbo siyo hiyo
yah si unajua ndoa sio kilimo cha mchicha.Mahari 50,000 labda kwa waislamu ndo hawana mambo mengi kwenye suala la ndoa.
Upande wa pili mahari milioni 3 halafu ndoa zinakuwa ndoano.
Hongera zake kwa ukarimu huo. Lakini hao vijana wakishaoana watakula nini? Si bora angewasaidia kujikwamua kiuchumi ili hatimaye waweze kuigharamia na kuihudumia ndoa yao wenyewe?Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo.