Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia inawezekana Chadema walikuwa wanalitaka jimbo.Hapo lazima kuna vitu 3 vime sababisha
Moto huo, yawezekana
Gari Ilikuwa inavuja Mafuta
Inawezekana gari Ilikuwa na tatizo la umeme
Inawezekana gari Ilikuwa inapata moto
Na mfumo wa kupooza haukuwa sawa
Ova
Gari ya gharama anakatia THIRD PARTY na huyo ndio mbunge, hao wengine walioko Masasi bima zao zichunguzwe.Gari la million zaidi ya 60 anatembelea bima zetu zile......akalipaki uwani tu sasa maana britam wameshaweka hadharani mzigo hata magumashi haupigiView attachment 2166235
AiseeeeeGari la million zaidi ya 60 anatembelea bima zetu zile......akalipaki uwani tu sasa maana britam wameshaweka hadharani mzigo hata magumashi haupigiView attachment 2166235
Comprehensive insurance ina hesabu zake pia msimoaumu mheshimiwa sana ,Gari ya gharama anakatia THIRD PARTY na huyo ndio mbunge, hao wengine walioko Masasi bima zao zichunguzwe.
Pamoja na uwaziri alokua nao bado hajui maana ya COMPREHENSIVE INSURANCE??
Defender TDI zilisitishwa baada ya production yake kufungwa huko Uingereza ndio wakaamia kwenye Doka aka Land cruiser,na ukiwauliza Polisi watakwambia Defender zilikuwa ni nzuri kuliko hizi Doka.Shida kubwa ya land rover ni leakage, yani toka naendesha 109 , shida hii hawajaweza kudhibiti , kuna uwezekano kulikuwa na fuel leakage mixer overheating, sinema ndo moto huo
Them land rovers are extremely unreliable , ndo maana hata serikali ilishindwa kuendesha defenders za polisi wakaamua kutumia land cruisers
Defender hadi hii leo bado zinatengenezwa , imebadiliia model tuDefender TDI zilisitishwa baada ya production yake kufungwa huko Uingereza ndio wakaamia kwenye Doka aka Land cruiser,na ukiwauliza Polisi watakwambia Defender zilikuwa ni nzuri kuliko hizi Doka.
Zinatengenezwa India na si Uingereza.Defender hadi hii leo bado zinatengenezwa , imebadiliia model tu
...Ina wezekana waligombana na Baba yake Mzee alipokuwa Hai na akumuapina ' Hata nikifa Usije Kunizika!'Mbunge wa jimbo la Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022. Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, ACP Mtatiro Kitinkwi amesema, chanzo cha gari ya mbunge wa Masasi Mjini, Geofrey Mwambe kuteketea kwa moto Machi 27, 2022 ni hitilafu katika mfumo wa umeme wa Gari hilo. Hata hivyo, ameeleza kuwa hakuna madhara kwa watu walikuwamo katika gari hilo.
View attachment 2166616View attachment 2166617View attachment 2166618
Acha uongo wewe huyo sio cecil mwambeAliama chadema rahana inamtafuna
Geofrey Mwambe alikua lini chadema? Siasa yenyewe tu kaanza 2020Aliama chadema rahana inamtafuna
Mke wa jamaa yangu kaburuza Gari yao kwenda Tanga... Katikati huko karibia na Segera mke akampigia Gari imezima imetoa Moshi kwenye engine... Tukampigia dogo mmoja yuko jirani na Segera kwenda kumsaidia kujua tatizo ni nini, dogo kufika akakuta radiator kifuniko hakipo na maji yote kwisha... Engine ameikaangaGari inahitaji service kila wakati
Kuna watu hawajui hata bonnet linafunguliwa vipi
Hata radiator hajui kama inahitaji maji
Sasa zitaacha kuwaka moto
Mkuu yule wa Ndugai ni Cecil Mwembe kama sikosei, alikuwa jimbo la Ndanda...Huyu ndio wale wanufaika wa utawala dhalimu wa jiwe na ndugai,
Mwambe alipaswa abaki humohumo ndani ya gari
Mke wa jamaa yangu kaburuza Gari yao kwenda Tanga... Katikati huko karibia na Segera mke akampigia Gari imezima imetoa Moshi kwenye engine... Tukampigia dogo mmoja yuko jirani na Segera kwenda kumsaidia kujua tatizo ni nini, dogo kufika akakuta radiator kifuniko hakipo na maji yote kwisha... Engine ameikaanga
NdiyoAlipita kihalali kweli huyu?