Pre GE2025 Mbunge wa Mbarali awataka UWT kutangaza habari za Rais Samia hadi msibani

Pre GE2025 Mbunge wa Mbarali awataka UWT kutangaza habari za Rais Samia hadi msibani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Hii ngoma itapasuka Sasa Kila sehemu Samia Samia,
Huku ni kuchamba kwingi
 
Wakuu vibweka ni vingi sana huu mwaka,

Mbunge wa jimbo la Mbarali Bahati Ndingo amewataka wanawake wa UWT kusambaza habari na mambo anayoyafanya Rais Samia, wakiwa kwenye shughuli mbalimbali ikiwemo msibani
View attachment 3224672
Hawa watu wanakera Sana. Ilikuwaje wakapata nafasi ya kuwa wawakilishi na hawajui wanatakiwa kuwakilisha kitu Gani?
 
Barabara ya igawa rujewa inasua sua ujenzi wake mwambie mheshimiwa tukutane kwenye kura za maoni
 
Back
Top Bottom