Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi

Usipange kukosa kufuatilia
Mtaarifu mwenzako

FB_IMG_16322026425840806.jpg
 
Kama kuna wakati mbeya wamepigwa pakubwa ni wakati huu wa huyo bimkora Mungu awasaidie tu
 
Mwambieni aache tujenge uchumi Kwanza. Mikutano baadae. POLIIIIS
 
Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi

Usipange kukosa kufuatilia
Mtaarifu mwenzako

View attachment 1946739
Kweli hizi bahasha zinaondowa utu wa waandishi wetu wa habari.

Hata huyo Mo Dewji na billionaire wote alionao hawezi kuita press nyumbani kwake.

Hizi ni dharau za wazi.
 
Mwambieni aache tujenge uchumi Kwanza. Mikutano baadae. POLIIIIS
weee thubutuuu wao ndio wenye nchi bana , hata corona kwao hakuna , ila jifanye wee chama fulani unafanya hata mazoezi barabarani utapigwa cha mbwa koko mpaka ushangae kwanini ulizaliwa, ila sawa tu yana mwisho haya
 
Kweli hizi bahasha zinaondowa utu wa waandishi wetu wa habari.

Hata huyo Mo Dewji na billionaire wote alionao hawezi kuita press nyumbani kwake.

Hizi ni dharau za wazi.
Hakuna shida mkutano na waandishi wa habari kufanyia nyumbani
Pia hakuna kipengele chochote kinachowakataza waandishi kufanya press nyumbani kwa mtu.
Ila tulia simkubali hata kidogo
 
Vipi tulia trust bado Ina trust au inasubiria kipindi cha kampeni
 
Back
Top Bottom