Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kwa hiyo tukusaidie nini?Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi
Usipange kukosa kufuatilia
Mtaarifu mwenzako
View attachment 1946739
Yesu, Maria na Yosefu.Ila huyu mdada ni mzuri jamani, sijui napataje namba.
Kweli hizi bahasha zinaondowa utu wa waandishi wetu wa habari.Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi
Usipange kukosa kufuatilia
Mtaarifu mwenzako
View attachment 1946739
Ila huyu mdada ni mzuri jamani, sijui napataje namba.
Daudi 🙄🙄🙄Yesu, Maria na Yosefu.
weee thubutuuu wao ndio wenye nchi bana , hata corona kwao hakuna , ila jifanye wee chama fulani unafanya hata mazoezi barabarani utapigwa cha mbwa koko mpaka ushangae kwanini ulizaliwa, ila sawa tu yana mwisho hayaMwambieni aache tujenge uchumi Kwanza. Mikutano baadae. POLIIIIS
Ni lini wanambeya hawajawahi kupigwa?Kama kuna wakati mbeya wamepigwa pakubwa ni wakati huu wa huyo bimkora Mungu awasaidie tu
Kweli kichwa cha chini hakijawahi kumiliki ubongo.Ila huyu mdada ni mzuri jamani, sijui napataje namba.
Kweli kabisaa! Hili laweza kuwa Neno, Ili abaki na Unaibu Speaker tu.Labda anajiuzulu!
Hakuna shida mkutano na waandishi wa habari kufanyia nyumbaniKweli hizi bahasha zinaondowa utu wa waandishi wetu wa habari.
Hata huyo Mo Dewji na billionaire wote alionao hawezi kuita press nyumbani kwake.
Hizi ni dharau za wazi.
Iwe HivyoLabda anajiuzulu!
Naye ameanza shule ya uongozi kama hpMkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi
Usipange kukosa kufuatilia
Mtaarifu mwenzako
View attachment 1946739
Naibu Spika ni lazima awe mbunge!Kweli kabisaa! Hili laweza kuwa Neno, Ili abaki na Unaibu Speaker tu.