Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Mimi pià huwa sielewi, watu wamekaa wee wamechakazana ndio wanakuja kuvalishana pete, hapo walitakiwa washike tu njia ya kanisani kwenda kubariki tena bila kusumbua wàtu na kadi za michango
Jamani tuacheni masihara.
Yaani watu waishi pamoja, wafanye mapenzi, wapeane mimba nk halafu leo watangaze ndio wanachumbiana, halafu tunaletewa picha humu ili kujadili. Huo ni mzaha na upuuzi mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom