Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

47584699_212793113008728_1711142938583404954_n.jpg
 
Waja wa mwenyezi Mungu...... Huyo dada anakasoro gani? Sugu anaoa m'mke aliyemchagua yeye sio kwa ajili ya kuwaridhisha Waja.
Ndio unakuta mtu anaoa mwanamke mzuri mwenye chura kubwa..... Halafu nje anachepuka na mwanamke wa kawaida, Kumbe alioa yule ili kuwaonyesha watu kwamba ana mke mrembo
Nakazia.................
Faidha cheupe dawa ni mfano tosha.
 
Back
Top Bottom