Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,618
Au vijana wanaoiga kuvaa mavazi ya mashariki ya kati, unakuta kijana wa kiume kavaa gauni jeupe na kiremba..Vijana wa siku hizi wana ugonjwa wa kuiga mambo wanayoyaona kwenye cinema za watu wa nje hasa Ulaya na Marekani bila kujua maana yake! Ndio maana unaweza kumkuta kijana amevaa t-shirt iliyoandikva maneno ya kumdhalilisha bila yeye kujua!!
Mambo ni mengi muda mchache
Sent using Jamii Forums mobile app