Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Vijana wa siku hizi wana ugonjwa wa kuiga mambo wanayoyaona kwenye cinema za watu wa nje hasa Ulaya na Marekani bila kujua maana yake! Ndio maana unaweza kumkuta kijana amevaa t-shirt iliyoandikva maneno ya kumdhalilisha bila yeye kujua!!
Au vijana wanaoiga kuvaa mavazi ya mashariki ya kati, unakuta kijana wa kiume kavaa gauni jeupe na kiremba..
Mambo ni mengi muda mchache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unalijua hilo iweje kutwa kushinda kwenye nyuzi za watu kukosoa yaliyoandikwa, tena na dhihaka juu.
Ishi unachohubiri mpendwa. Hata hao unawaita 'mapunguani' kwenye kosoa zako, pengine na wao huandika kukaribiana na matamshi yao na si kuandika barua.
Leo mmemweza kweli kweli huyu mswahili wa kariakoo
 
Back
Top Bottom