MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
chakula ya wanaumeSugu miwani kila kona
Huyu jamaa lazima atakuwa anakula mmea daily
All in all nampongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chakula ya wanaumeSugu miwani kila kona
Huyu jamaa lazima atakuwa anakula mmea daily
All in all nampongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] FaizaFoxy bana.Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
We ndo mzazi mwenzake na Sugu?Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
[emoji116] [emoji41]Kamanda kapiga goti nae [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja tusikie faiza atasemaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Mkumbo wa Kadamnasi!Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
Kaomba dua moja mbaya huko insta nimeona asubuhi hii!Kamanda kapiga goti nae [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja tusikie faiza atasemaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Faiza huyu[emoji116] [emoji41]
"Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja."
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamua kumkazia mkuu hahaha leo amesahihishwa yeye anajikuta anakijua sana kiswahili hahahaha...
Hehehe eti wakinga wenyeji wa mkoa wa Mbeya na unasema umezaliwa huko? Hahaha
Facts mkuu...Ila yeye bingwa wa kukosoa wenzake kama wamekosea kuandika vizuri.
Kapima oil kwanza [emoji3][emoji3] kisha kachumbia nahisi kaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia mkuu [emoji28][emoji28]Tumbo vipi mbona halina ushirikiano na Pete!
Mambo yashakuwa mengi sana.
Aliacha mmea, anagonga konyagi tu siku hizi.Sugu miwani kila kona
Huyu jamaa lazima atakuwa anakula mmea daily
All in all nampongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Si wanaishi pamoja hawa!!Mimi nilijua walishafunga ndoa, maana Faiza anavyo litolea povu penzi lao aisee kumbe hata ndoa bado huu uchumba sugu.
Nakazia.................Waja wa mwenyezi Mungu...... Huyo dada anakasoro gani? Sugu anaoa m'mke aliyemchagua yeye sio kwa ajili ya kuwaridhisha Waja.
Ndio unakuta mtu anaoa mwanamke mzuri mwenye chura kubwa..... Halafu nje anachepuka na mwanamke wa kawaida, Kumbe alioa yule ili kuwaonyesha watu kwamba ana mke mrembo