Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Hivi Africa tuna utamaduni kwa njemba kwenda magotini kupropose?
 
Au ndiyo tqmaduni za wenzetu zapendeza na hivyo kuzika wa kwetu? Halafu utasikia anafunga ndoa kumbe anapasha kiporo! Mweee
 
Ha ha ha.....wajukuu zake wamemchanganya leo.....anachapia tu.

But generally FF ni mwalimu nzuri humu jamvini (ukiacha vile vibwagizo vyake vya kebehi pale anapomrekebisha mtu).
Ni kweli mkuu
 
Anamvalisha pete huku ana mimba tayari halafu wataenda kufunga ndoa kanisani wakati tayari wamezini.Mheshimiwa mbunge hayo ndio maadili ya kiongozi?

Na wewe una wivu wa kike kapigwa mimba mwingine kichefuchefu unapata wewe, sio bure utakuwa shoga wewe! ulitaka muhishimiwa auziwe mbuzi kwenye gunia ? jinga kabisa fyuuuu!
 
Mbilinyi wengi wamelowea mbeya. Ila asili yao si mbeya kwamaana siyo wanyakyusa,wanyiha,wasafwa,wandali wala wanyamwanga,,wao ni wakinga kwa asili. Kama umewaona mbeya basi wavamizi ama walowezi
Nashukuru umenisaidia kumuelewesha huyu mtoto japo umetumia lugha kali, ni wahamiaji sio wavamizi lol.
Pia si kila Mbilinyi ni mkinga mfano kama huyu anayeongelewa hapa si mkinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom