Mbunge wa Mbogwe amtaka Naibu Waziri wa Maji kuacha majibu ya kwenye makaratasi, ahoji vilipo visima 26 alivyotaja

Hiki kipindi cha maswali na majibu ni maigizo tupu, swali unauliza majibu yanatoka baada ya miezi mitatu.

Yani mbunge apeleke swali linalohusu visima vilivyopo kijijini kwake bungeni, bunge livyapeleke kwa wizara husika, wizara ifanye followup mkoani, mkoani hadi wilayani kwa mkurugenzi kichekesho hiki.

Kwani hatutaki kuzipa local government nguvu ya kudeal na maswala haya central government ibaki na maswala ya kitaifa na ku lay down policies.

Kenya wameivunja nchi kwa counties 42, kila county ina Governor wake mwenye serikali yake inayojiendesha na department zake na vipaumbele vyake.
 
Hoja kwa nini serikali idanganye?
Hoja ya kwanini serikali idanganye bado ina mashiko.

Ila jimbo kutokua na kisima na mtu analipwa mshahara kiasi hicho kwa kazi ya kuja kulalamika ni aibu.
 
Afukuzwe huyu anakula posho then anakuwa mkweli, yaani mambo ya kuunga mkono hoja yanaisha mapema hivi maaweeeeee
 
Mbunge unapokea 11M kwa mwezi plus other benefits. Kima cha chini kwa serikali ni 300K hivi tuseme anashindwa kutoa pesa ya mshahara akachimba hata visima vinne tu?...
Huwa nakuhesabu miongoni mwa wenye upeo mkubwa wa uelewa JF, lakini kumbe huna tofauti na akina Nabii Titto? Kazi ya Mbunge ni kutoa hela yake ya mshahara na kuchimba visima?
 
Huwa nakuhesabu miongoni mwa wenye upeo mkubwa wa uelewa JF, lakini kumbe huna tofauti na akina Nabii Titto? Kazi ya Mbunge ni kutoa hela yake ya mshahara na kuchimba visima?
Mzee ndiyo maana kuna namna ukitenda tunahesabu umeenda extra, beyond duty. Kwa nchi yetu ambayo bado mtu akienda kuomba kura anaahidi maji, umeme na vituo vya afya mbunge ambaye anaweza kwenda extra ni muhimu.

Case study ni Mo Dewji.
 
Usilinganishe Tz na Kenya. Kila nchi na taratibu zake
 
Siku zote ni majibu ya kwenye makaratasi....hata suala la REA utasikia wanataja tu idadi ya vijijini na vitongoji vyenye umeme lakini ukienda vijijini hmna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…