Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

Hili gazeti lishugulikiwe kwa kuzusha taarifa ambazo ,hawana uhakika nazo,ama laa waitwe kuthibitisha walichokiandika. Spika ndie mwenye mamlaka ya kutoa taarifa za mbunge, na sio gazeti!
Taarifa za uhakika ni zipi sasa?
 
Matola, tatizo la mtu mmoja usihusishe CCM, Bunge na hata kuitaja kirahisi Ikulu kwa ujumla. Huyo ndugu mbunge kuugua matatizo ya akili ni suala la mtu mmoja. Tusichafue taasisi zetu. Muhimu mbunge akatibiwe, apumzike ubunge hadi apone.
Ninyie mliosema Chadema ni chama cha magaidi, tuendelee hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom