Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

Spika mwenyewe amewahi kukiri kuwa "Asichezewe kwani ana faili Mirembe" bado kama taifa hatuchukui hatua.
Siku akivua joho na kutembea Bungeni korodani zinagongana kama kengele ya vipindi shuleni ndio watashtuka
[emoji23][emoji23]napiga picha akilini kwangu korodani jinsi zilivyo hlf zikawa zinagongana
Jee zitaonekana kwa haraka au kitu cha mbele kitakuwa kinazuia zuia
 
Yule anaweza asiende jehanamu kwa sababu alikuwa mgonjwa wa akili. Watakaoenda jehanamu ni wale waliompa uongozi, waliokuwa wanapokea amri na waliokuwa wanamshangikia mwendazimu. Mwendawazimu anakuambia wewe mzima ukaue, na wewe unaenda kuua!
[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
 
Si tatizo la mtu mmoja bwanaaa kwani hata Sipika au subwoofer si alisema mwenyewe ana file mirembe?? Na yule gwajima we unamuona yuko sawa kichwani yule?? Haya na marehemu dikteta jiwe alikuwa sawa yule?? List ni ndefu acha kutetea ujinga.
Onyesha maturity ktk kujadili hoja. Hapa siyo facebook. Pls!
 
Siku zote nasema na narudia tena, huyo mwendakuzimu asipokwenda motoni basi ujuwe moto haupo na wala hakuna Mungu zitakuwa ni hadithi tu.

Kwa matendo ya kishetani aliyoyafanyia nchi yetu mtu huyu, kamwe hawezi kuiona pepo.
Astakafilullah wadau😊😊😊
 
WaTz wapinzani mtasema sana,hivi kuna ajabu gani hapa Tanzania Malaria kupanda kichwani ? halafu hivi yeye sio binadamu kama wengine ? Kuugua imekuwa ishu ya kuiparamia ? Ndio maana mnapigwa chenga kirahisi sana,mtu ameumwa mpeni pole mjulieni hali,Mbona Raisi Samia alienda Kenya kumuona Tundu Lisu ? Kwa vyovyote aliiwakilisha Serikali.

Halafu wakora nyinyi ndio mnataka kutwaa madaraka ya nchi hii kuongoza ? hampati kitu na ondoeni tamaa zenu na njaa zinazowahangaisha.
We nawe sijui umekula maharage gani tena!!kuna mpinzani anaewaombea mema hao chama cha majambazi??udhulumu haki za kikatiba uvuruge uchaguzi uuwe watu na wengine uwapoteze na wengine uwabambikie kesi za kutunga, eti ubinadamu kwendeni huko na mkafie mbali .Samia alienda Nairobi kumwona Lissu halafu??ikaweje??''Polisi wetu hawezi kumkosa mtu kwa risasi tatu''upo hiyo sasa ni nini??unafiki tu bora asingeenda.
 
Hii ni wake up call sasa kwa spika wao atake asitake ni lazima apimwe afya yake ya akili kama anastahili kuendelea kushika nafasi hiyo.

Mkidharau ndio madhara mnakuwa na mtu ikulu chizi, bungeni mkuu wao chizi, sasa mnakuwa na Taifa la namna gani?

Huu ni ushahidi wa machizi wengi bungeni ambao wanapitisha miswada halafu haohao wanashangaa ilipitaje?

Bunge lote wapimwe akili kwa lazima,watake wasitake.

View attachment 2013563
Mazuzu+machizi
 
Siku zote nasema na narudia tena, huyo mwendakuzimu asipokwenda motoni basi ujuwe moto haupo na wala hakuna Mungu zitakuwa ni hadithi tu.

Kwa matendo ya kishetani aliyoyafanyia nchi yetu mtu huyu, kamwe hawezi kuiona pepo.
Wewe ni mpumbavu ,inaonesha ni jinsi gani unaakili pilitoni ni lini na wapi ulishuhudia mtu kaenda motoni au peponi.!?
 
Matola, tatizo la mtu mmoja usihusishe CCM, Bunge na hata kuitaja kirahisi Ikulu kwa ujumla. Huyo ndugu mbunge kuugua matatizo ya akili ni suala la mtu mmoja. Tusichafue taasisi zetu. Muhimu mbunge akatibiwe, apumzike ubunge hadi apone.
Bunge lilikuwa tàasisi zamani, siku hizi ni kusanyiko la Mazuzu Kwa hiyo Hatushangai kukuta Chizi katikati ya Mazuzu.
 
ii ni wake up call sasa kwa spika wao atake asitake ni lazima apimwe afya yake ya akili kama anastahili kuendelea kushika nafasi hiyo
Mbona yeye mwenyewe alishasema ana file ktk ile hosp. ya watu 'wanaoumwa' vichwa
 
Nilivyoisikia maelezo yake pale Bungeni nikipata hisia kwamba pana kitu hakipo sawa. Namna alivyokuwa anasoma vile vipengere na pale alipoanza kulia na kuomba ulinzi wa Spika ilikuwa alama ambazo wataalamu wa saikolojia ya akili wangeweza kutoa maelezo mazuri tu kuhusu afya ya akili ya yule jamaa. Ila sasa kwa vile wananzengo wanataka apelekwe kwa waganga na waganguzi basi tusubiri tuone nini hatma yake.
 
Hili gazeti lishugulikiwe kwa kuzusha taarifa ambazo ,hawana uhakika nazo,ama laa waitwe kuthibitisha walichokiandika. Spika ndie mwenye mamlaka ya kutoa taarifa za mbunge, na sio gazeti!
 
Hii ni wake up call sasa kwa spika wao atake asitake ni lazima apimwe afya yake ya akili kama anastahili kuendelea kushika nafasi hiyo.

Mkidharau ndio madhara mnakuwa na mtu ikulu chizi, bungeni mkuu wao chizi, sasa mnakuwa na Taifa la namna gani?

Huu ni ushahidi wa machizi wengi bungeni ambao wanapitisha miswada halafu haohao wanashangaa ilipitaje?

Bunge lote wapimwe akili kwa lazima,watake wasitake.

View attachment 2013563
MaCCM yote yamerithi UKICHAA wa Mwendawazimu wa Chato 😃
 
Back
Top Bottom