Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

WaTz wapinzani mtasema sana,hivi kuna ajabu gani hapa Tanzania Malaria kupanda kichwani ? halafu hivi yeye sio binadamu kama wengine ? Kuugua imekuwa ishu ya kuiparamia ? Ndio maana mnapigwa chenga kirahisi sana,mtu ameumwa mpeni pole mjulieni hali,Mbona Raisi Samia alienda Kenya kumuona Tundu Lisu ? Kwa vyovyote aliiwakilisha Serikali.

Halafu wakora nyinyi ndio mnataka kutwaa madaraka ya nchi hii kuongoza ? hampati kitu na ondoeni tamaa zenu na njaa zinazowahangaisha.
 
nimeangalia hotuba yake ya mwezi feb mwaka huu,

kumbe huyu bwana ni mtani ya spika wetu😁
 
Nchi nzima tufanye toba na kumrudia Mwenyezi Mungu, inawezekana Kuna "chukizo" limesimama mahali "patakatifu" maana kila mahali hapako sawa, hata mimi mwenyewe najiona siko sawa kabisa.
 
Duuu hili sasa limekuwa ni bunge la machizi.

2766763_20210422_183858.jpg
 
Hii ni wake up call sasa kwa spika wao atake asitake ni lazima apimwe afya yake ya akili kama anastahili kuendelea kushika nafasi hiyo.

Mkidharau ndio madhara mnakuwa na mtu ikulu chizi, bungeni mkuu wao chizi, sasa mnakuwa na Taifa la namna gani?

Huu ni ushahidi wa machizi wengi bungeni ambao wanapitisha miswada halafu haohao wanashangaa ilipitaje?

Bunge lote wapimwe akili kwa lazima,watake wasitake.

View attachment 2013563
Huyo kiongozi wao wa huko bungeni naye anaugua kichaa na yeye mwenyewe alisema analo file mirembe
 
Matola, tatizo la mtu mmoja usihusishe CCM, Bunge na hata kuitaja kirahisi Ikulu kwa ujumla. Huyo ndugu mbunge kuugua matatizo ya akili ni suala la mtu mmoja. Tusichafue taasisi zetu. Muhimu mbunge akatibiwe, apumzike ubunge hadi apone.
Si tatizo la mtu mmoja bwanaaa kwani hata Sipika au subwoofer si alisema mwenyewe ana file mirembe?? Na yule gwajima we unamuona yuko sawa kichwani yule?? Haya na marehemu dikteta jiwe alikuwa sawa yule?? List ni ndefu acha kutetea ujinga.
 
Wadanganyika wanajisahaulisha namna walivyo hodari kwa ndumba........ukiwa huna kinga unapigwa ukichaa, ndo maana mzee kakomaa akatibiwe kienyeji, hii ndo bongolala bhana, ulozi ni kama maji ya kunywa......
 
Hii ni wake up call sasa kwa spika wao atake asitake ni lazima apimwe afya yake ya akili kama anastahili kuendelea kushika nafasi hiyo.

Mkidharau ndio madhara mnakuwa na mtu ikulu chizi, bungeni mkuu wao chizi, sasa mnakuwa na Taifa la namna gani?

Huu ni ushahidi wa machizi wengi bungeni ambao wanapitisha miswada halafu haohao wanashangaa ilipitaje?

Bunge lote wapimwe akili kwa lazima,watake wasitake.

View attachment 2013563
Yaani kwa jinsi ulivyoileta hii habari, ni kama vile ulikuwa unaisubiri kwa hamu sana.

Anyways, sijaona sehemu huyo Mbunge amepelekwa Hospitali na wataalamu wa Afya wakathibisha kuwa ana tatizo la Akili!
 
Siku zote nasema na narudia tena, huyo mwendakuzimu asipokwenda motoni basi ujuwe moto haupo na wala hakuna Mungu zitakuwa ni hadithi tu.

Kwa matendo ya kishetani aliyoyafanyia nchi yetu mtu huyu, kamwe hawezi kuiona pepo.
Mkuu Matola,huyu mtu alikuwa na mawazo ya kuwa raisi wa Malaika sijui Malaika wa wapi hao huku anajua anarekodi chafu ya uuwaji,utekaji,utesaji akiwatumia wasiojulikana kama Makonda,Mahita,Kingai,Sabaya,na kadhalika.
 
Back
Top Bottom