troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,551
- 2,573
Tuambie nani wamiliki wa leseni vamizi jimboni Mbogwe.Hii ni wake up call sasa kwa spika wao atake asitake ni lazima apimwe afya yake ya akili kama anastahili kuendelea kushika nafasi hiyo.
Mkidharau ndio madhara mnakuwa na mtu ikulu chizi, bungeni mkuu wao chizi, sasa mnakuwa na Taifa la namna gani?
Huu ni ushahidi wa machizi wengi bungeni ambao wanapitisha miswada halafu haohao wanashangaa ilipitaje?
Bunge lote wapimwe akili kwa lazima,watake wasitake.
View attachment 2013563
Acheni kuhamisha goli