Hili gazeti lishugulikiwe kwa kuzusha taarifa ambazo ,hawana uhakika nazo,ama laa waitwe kuthibitisha walichokiandika. Spika ndie mwenye mamlaka ya kutoa taarifa za mbunge, na sio gazeti!
Matola, tatizo la mtu mmoja usihusishe CCM, Bunge na hata kuitaja kirahisi Ikulu kwa ujumla. Huyo ndugu mbunge kuugua matatizo ya akili ni suala la mtu mmoja. Tusichafue taasisi zetu. Muhimu mbunge akatibiwe, apumzike ubunge hadi apone.