Hapana,, hapo Mdude amekosea sana hayo hatuyasemagi hadharani!! Ila hongera zake Mh. Haonga kwa nyomi hiyo, sasa unakuta eti majinga majinga yanaunga juhudi, upumbavu mtupu!
Mkuu Paskali, inawezekana.kweli CHADEMA ni mpango wa MUNGU, maana kilivyoteswa hiki chama na wafuasi wake kingekuwa kimeshakufa. Alikuwapo Mzee mmoja mjinga mjinga akatangaza hadharani eti kitakufa kabla ya 2015, akafa mwenyewe kisiasa! Sasa na huyo anayetaka kukiua usijekuta anakufa mwenyewe kabla ya kukiua!Duh...!, kumbe bado ipo angalau hadi October 2020, baada ya hapo, kuendelea kuwepo ni majaliwa!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
P
Tena roho zinawauma sana wanafikiri Watanzania wanaweza kurudi kwenye zama za Chama kimoja
Ongeza Sauti ooghhTena roho zinawauma sana wanafikiri Watanzania wanaweza kurudi kwenye zama za Chama kimoja
Ndio kinazidi kupamba moto kufikia september ccm inaweza ikaingiza vifaru mitaani ili kuwatisha wapiga kura.Duh...!, kumbe bado ipo angalau hadi October 2020, baada ya hapo, kuendelea kuwepo ni majaliwa!.
uongo utakusaidia nini ?Hao kazi yao ni kupiga domo kwenye social media, ndani ya chama hawaaminiki!
Sent using Jamii Forums mobile app
askari wamechoka mno!Ndio kinazidi kupamba moto kufikia september ccm inaweza ikaingiza vifaru mitaani ili kuwatisha wapiga kura.
Hata mgambo nao hoi labda Uhamiaji waanze kuwavua Wapinzani uraia hovyo.askari wamechoka mno!
Manjinga kama CrimeaBravo Mh Haonga,halafu wajinga wanasema Chadema haipo....jinga kabisa hawa maccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi mabaya ya ule mmea wetu pendwa!Ila huyu Mdude hayuko sawa, kuna shida mahala
Shetani hatakiwi kuchekewaIla huyu Mdude hayuko sawa, kuna shida mahala
Ukweli mtupu !Hakuna chama ambacho kimeigharimu CCM mabilioni ili kukimaliza kwa kila njia zikiwemo upigaji wa risasi Bungeni hadharani Hakuna chama kinachowanyima CCM usingizi kama Chama imara kabisa kuwahi kutokea katika ulingo wa siasa hapa nchini CHADEMA.
Shetani hajawahi kumshinda Mungu , hata kama ibada itaongozwa na Pengo
Hakuna chama ambacho kimeigharimu CCM mabilioni ili kukimaliza kwa kila njia zikiwemo upigaji wa risasi Bungeni hadharani Hakuna chama kinachowanyima CCM usingizi kama Chama imara kabisa kuwahi kutokea katika ulingo wa siasa hapa nchini CHADEMA.
Duh...mambo ya karma haya!, Mungu apitishie mbali, ile ndoto ya yule jamaa isije timia!.Mkuu Paskali, inawezekana.kweli CHADEMA ni mpango wa MUNGU, maana kilivyoteswa hiki chama na wafuasi wake kingekuwa kimeshakufa. Alikuwapo Mzee mmoja mjinga mjinga akatangaza hadharani eti kitakufa kabla ya 2015, akafa mwenyewe kisiasa! Sasa na huyo anayetaka kukiua usijekuta anakufa mwenyewe kabla ya kukiua!