Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga ahutubia maelfu, pamoja na mvua kubwa lakini wananchi wakomaa, Mdude Nyagali apata nafasi ya kusalimia wananchi

Hakuna chama ambacho kimeigharimu CCM mabilioni ili kukimaliza kwa kila njia zikiwemo upigaji wa risasi Bungeni hadharani Hakuna chama kinachowanyima CCM usingizi kama Chama imara kabisa kuwahi kutokea katika ulingo wa siasa hapa nchini CHADEMA.
 
Duh...!, kumbe bado ipo angalau hadi October 2020, baada ya hapo, kuendelea kuwepo ni majaliwa!.

P
Mkuu Paskali, inawezekana.kweli CHADEMA ni mpango wa MUNGU, maana kilivyoteswa hiki chama na wafuasi wake kingekuwa kimeshakufa. Alikuwapo Mzee mmoja mjinga mjinga akatangaza hadharani eti kitakufa kabla ya 2015, akafa mwenyewe kisiasa! Sasa na huyo anayetaka kukiua usijekuta anakufa mwenyewe kabla ya kukiua!
 
Hakuna chama ambacho kimeigharimu CCM mabilioni ili kukimaliza kwa kila njia zikiwemo upigaji wa risasi Bungeni hadharani Hakuna chama kinachowanyima CCM usingizi kama Chama imara kabisa kuwahi kutokea katika ulingo wa siasa hapa nchini CHADEMA.
Ukweli mtupu !
 
Anayekiharibu ni mwenyekiti wa kudumu...
Kingekuwa chini ya uenyekiti wa Lissu ama Heche kingefanya makubwa zaidi..
Wana uthubutu na sio waoga na hawatangulizi busara kama Mbowe...
Sorry nimemsema vibaya mmiliki wa chama..
Hakuna chama ambacho kimeigharimu CCM mabilioni ili kukimaliza kwa kila njia zikiwemo upigaji wa risasi Bungeni hadharani Hakuna chama kinachowanyima CCM usingizi kama Chama imara kabisa kuwahi kutokea katika ulingo wa siasa hapa nchini CHADEMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Paskali, inawezekana.kweli CHADEMA ni mpango wa MUNGU, maana kilivyoteswa hiki chama na wafuasi wake kingekuwa kimeshakufa. Alikuwapo Mzee mmoja mjinga mjinga akatangaza hadharani eti kitakufa kabla ya 2015, akafa mwenyewe kisiasa! Sasa na huyo anayetaka kukiua usijekuta anakufa mwenyewe kabla ya kukiua!
Duh...mambo ya karma haya!, Mungu apitishie mbali, ile ndoto ya yule jamaa isije timia!.
P
,
 
Back
Top Bottom