Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga ahutubia maelfu, pamoja na mvua kubwa lakini wananchi wakomaa, Mdude Nyagali apata nafasi ya kusalimia wananchi

Pascal Mayalla amekata tamaa ya maisha , hilo halina ubishi , tunachokifanya ni kumchunguza kisa cha kukata tamaa kiasi hiki , hata kama anaumwa ugonjwa usiopona mbona wenzie wanakula dawa kila siku na bado hawajakata tamaa ?

Ngoja tuingie kazini tutajua tu
 
Endelea kupiga ramli zako.
 
Hahahaaaa.... Maelfu wapi we we ... Anaenda kufanya mkutano sokoni?.. Alafu mnadai ni maelfu..... Endeleeni kujifariji
Mkuu naomba nikukumbushe mkuu wenu wa wilaya mmoja hapo jijini daresalaam alipokwenda kwenye moja ya masoko hapo jijini kutaka kuongea na wananchi/wafanyabiashara, hakuna mtu hata mmoja aliyekwenda kumsikiliza mpaka akaanza kuwatishia kwamba angewachukulia hatua za kisheria, alianza pia kuuliza "wako wapi viongozi wa soko, mimi mkuu wa wilaya niko hapa, inahitaji mtu anaekubalika kusikilizwa na watu, bila kujali uko sehemu gani
 
Ucha uchawi na utabiri wa kilofa....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu wimbo siyo mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bro, this is undeserving of ya and always take the high road. Ndio maana huwa nakwambia mara nyingi, objective truth itakufanya uwe bora. Ndio maana ukisemaga haya mambo ya vyama huwa nakwambia kabisa hauko sahihi.

I cannot believe hata unafiki ni sifa yako pia. Kifo cha CHADEMA mmekihamisha sana, mara 2015, 16, 17, 18, 19 na sasa 2020!! Pretence kuwa hujui kipo ndio unafiki ninaozungumzia (sio kitu kingine). Refer to your “kumbe” ktk bandiko lako. True that ya didnt know CHADEMA ipo??
 
Haonga atafute kazi ya kufanya ubunge ndio basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…