Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Pascal Mayalla amekata tamaa ya maisha , hilo halina ubishi , tunachokifanya ni kumchunguza kisa cha kukata tamaa kiasi hiki , hata kama anaumwa ugonjwa usiopona mbona wenzie wanakula dawa kila siku na bado hawajakata tamaa ?Hukuumia ccm walipofany rafu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ?
Kuna tofauti kubwa sana ya Viwango vya Uelewa (IQ) kati ya watu wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na nyie Kanda ya ziwa (Wasukuma) Ukitoa mkoa wa Mara, wale jamaa wa Kusini wanajitambua sana, nyinyi akina Paskali ni bogasi na mapopoma,
Swali- Ni kwa faida gani unatarajia kuipata endapo tutarudi kuwa na chama kimoja ??!!!, Duniani kote Nchi zilizoendelea zina mifumo ya siasa za Chama zaidi ya kimoja, na mambo yanakwenda
Ngoja tuingie kazini tutajua tu