Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga ahutubia maelfu, pamoja na mvua kubwa lakini wananchi wakomaa, Mdude Nyagali apata nafasi ya kusalimia wananchi

Duh...mambo ya karma haya!, Mungu apitishie mbali, ile ndoto ya yule jamaa isije timia!.
P
,
Na siku hizi hiyo Karma huwakumba hata mashabiki maandazi kama wewe , umeng'ang'ania sana kifo cha chadema 2020 huku ukijua kabisa kwamba Magufuli hana uwezo wa kushindana na chadema jukwaani zaidi labda awaue kwa bunduki , sasa jiangalie na wewe je utavuka 2020 au ndio utatandikwa na karma ?

Jiangalie sana unapokuwa upande wa shetani , shetani hana rafiki .
 
Shetani ni Chadema,na shetani lazima aangamizwe,ndo maana CCm kila siku inakuja na mbinu za kuiangamiza chadema
Na siku hizi hiyo Karma huwakumba hata mashabiki maandazi kama wewe , umeng'ang'ania sana kifo cha chadema 2020 huku ukijua kabisa kwa Magufuli hana uwezo wa kushindana na chadema jukwaani zaidi labda awaue kwa bunduki , sasa jiangalie na wewe je utavuka 2020 au ndio utatandikwa na karma ?

Jiangalie sana unapokuwa upande wa shetani , shetani hana rafiki .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni msoma trends mzuri, unaona kabisa mtoto anachezea wembe, unajua kabisa ukichezea wembe unaweza kumkata, jee ataacha tuu mtoto aendelee kuchezea wembe au utamnyang'anya?. Au unaona kabisa mtoto anachezea moto, unajua kabisa mtoto akichezea moto, ataweza kuungua, utamuacha tuu mtoto chezee moto aje kuungua au utamkataza na kumuonya kuwa ataungua.

Baada ya kunyanganya mtoto wembe na kumzuia asichezee moto, mtoto akiendelea kulilia, ukimuachia baadae akajikata au akaungua, utalaumiwa kuwa ulishabikia mtoto kuchezea wembe ukamkata au kuchezea moto ukamchoma.

Sishabikii Chadema kufa ndio maana nikawaambia yote haya

Baada ya hoja zote hizo, 2020 Chadema ikiambulia patupu, utasema ni mimi nimeshabikia hadi karma initandike?.
P

https://www.jamiiforums.com/threads...hivi-jee-ikulu-yetu-wangeiweza.1316811/page-3
 
Wasira alikuwa na nguvu kuliko wewe , alishaleta upuuzi kama huu wako , tena kwa vipaza sauti , leo yuko wapi ? tena afadhali yeye yuko hai , endelea kujiambatanisha na shetani upate malipo yako
 
Mimi ni msoma trends mzuri, unaona kabisa mtoto anachezea wembe, unajua kabisa ukichezea wembe unaweza kumkata, jee ataacha tuu mtoto aendelee kuchezea wembe au utamnyang'anya?. Au unaona kabisa mtoto anachezea moto, unajua kabisa mtoto akichezea moto, ataweza kuungua, utamuacha tuu mtoto chezee moto aje kuungua au utamkataza na kumuonya kuwa ataungua.

Baada ya kunyanganya mtoto wembe na kumzuia asichezee moto, mtoto akiendelea kulilia, ukimuachia baadae akajikata au akaungua, utalaumiwa kuwa ulishabikia mtoto kuchezea wembe ukamkata au kuchezea moto ukamchoma.

Sishabikii Chadema kufa ndio maana nikawaambia yote haya

Baada ya hoja zote hizo, 2020 Chadema ikiambulia patupu, utasema ni mimi nimeshabikia hadi karma initandike?.
P

Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?!
Wewe jamaa una matatizo ya akili. Mwehu mkubwa wewe. We jamaa Mpuuzi sana tena Mpumbavu mkubwa!
 
Hapana,, tusifike huko mkuu!! Unless kama mna beef lenu wawili!
Mkuu huyu jamaa hatu fahamiani...ila post zake zinachefua...pia ni mchonganishi sana. Mbea..muongo na mzandiki. Pia ni mganga njaa anaye jipendekeza kwa viongozi washamba kama yeye alivyo mshamba. Siku nikimuona nita mcharaza viboko.
 
Hahahaaaa.... Maelfu wapi we we ... Anaenda kufanya mkutano sokoni?.. Alafu mnadai ni maelfu..... Endeleeni kujifariji
 
Ndio tatizo ya kuwa na VIJANA ambao walikimbia shule ... Sasa mdude kaongea pointi gani hapo?... Endeleeni kushabikia ujinga parapanda itawaita nyie kwanza
 
Niliumia sana huyu jamaa na malisa walivyoshindwa bavicha taifa walikua wanafaa sana
Hukuumia ccm walipofany rafu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ?
Duh...!, kumbe bado ipo angalau hadi October 2020, baada ya hapo, kuendelea kuwepo ni majaliwa!.

P
Kuna tofauti kubwa sana ya Viwango vya Uelewa (IQ) kati ya watu wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na nyie Kanda ya ziwa (Wasukuma) Ukitoa mkoa wa Mara, wale jamaa wa Kusini wanajitambua sana, nyinyi akina Paskali ni bogasi na mapopoma,
Swali- Ni kwa faida gani unatarajia kuipata endapo tutarudi kuwa na chama kimoja ??!!!, Duniani kote Nchi zilizoendelea zina mifumo ya siasa za Chama zaidi ya kimoja, na mambo yanakwenda
 
Back
Top Bottom