Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Nani kakudanganya ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakudanganya ?
Na siku hizi hiyo Karma huwakumba hata mashabiki maandazi kama wewe , umeng'ang'ania sana kifo cha chadema 2020 huku ukijua kabisa kwamba Magufuli hana uwezo wa kushindana na chadema jukwaani zaidi labda awaue kwa bunduki , sasa jiangalie na wewe je utavuka 2020 au ndio utatandikwa na karma ?Duh...mambo ya karma haya!, Mungu apitishie mbali, ile ndoto ya yule jamaa isije timia!.
P
,
Nani kakudanganya ?
Na siku hizi hiyo Karma huwakumba hata mashabiki maandazi kama wewe , umeng'ang'ania sana kifo cha chadema 2020 huku ukijua kabisa kwa Magufuli hana uwezo wa kushindana na chadema jukwaani zaidi labda awaue kwa bunduki , sasa jiangalie na wewe je utavuka 2020 au ndio utatandikwa na karma ?
Jiangalie sana unapokuwa upande wa shetani , shetani hana rafiki .
Mimi ni msoma trends mzuri, unaona kabisa mtoto anachezea wembe, unajua kabisa ukichezea wembe unaweza kumkata, jee ataacha tuu mtoto aendelee kuchezea wembe au utamnyang'anya?. Au unaona kabisa mtoto anachezea moto, unajua kabisa mtoto akichezea moto, ataweza kuungua, utamuacha tuu mtoto chezee moto aje kuungua au utamkataza na kumuonya kuwa ataungua.Na siku hizi hiyo Karma huwakumba hata mashabiki maandazi kama wewe , umeng'ang'ania sana kifo cha chadema 2020 huku ukijua kabisa kwa Magufuli hana uwezo wa kushindana na chadema jukwaani zaidi labda awaue kwa bunduki , sasa jiangalie na wewe je utavuka 2020 au ndio utatandikwa na karma ?
Jiangalie sana unapokuwa upande wa shetani , shetani hana rafiki .
Wasira alikuwa na nguvu kuliko wewe , alishaleta upuuzi kama huu wako , tena kwa vipaza sauti , leo yuko wapi ? tena afadhali yeye yuko hai , endelea kujiambatanisha na shetani upate malipo yakoMimi ni msoma trends mzuri, unaona kabisa mtoto anachezea wembe, unajua kabisa ukichezea wembe unaweza kumkata, jee ataacha tuu mtoto aendelee kuchezea wembe au utamnyang'anya?. Au unaona kabisa mtoto anachezea moto, unajua kabisa mtoto akichezea moto, ataweza kuungua, utamuacha tuu mtoto chezee moto aje kuungua au utamkataza na kumuonya kuwa ataungua.
Baada ya kunyanganya mtoto wembe na kumzuia asichezee moto, mtoto akiendelea kulilia, ukimuachia baadae akajikata au akaungua, utalaumiwa kuwa ulishabikia mtoto kuchezea wembe ukamkata au kuchezea moto ukamchoma.
Sishabikii Chadema kufa ndio maana nikawaambia yote haya
Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko Shari Kamili! - Kuepusha Shari, Kubalini Kosa!
Pasco ni wa kuogopa kama ukoma!www.jamiiforums.com
CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!
unajua chadema ni masikio ya kufa...kaa ujumla wake linaitwa sikio la kufa! ila wewe ushakufa kabisa so hamna namna..... mkuu acha ukiliza unaouonyesha hapa kuwa kila mkosoa chadema ni ccm, aibu mkuu Husikilizwi kwani umejitenga na mambo ya msingi. Kusiginwa kwa haki ya vyama kwa mujibu wa...www.jamiiforums.com
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
Flyover Dar, Uwanja chato, Mambo yote Dar na Chato, mmmh labda akijenga flyover Tunduru, kondoa au Nanjilinji atawashawishi, Wale wa vijijini waliokuwa wanatumiwa pesa na ndugu mjini sasa huko vijijini hawana kitu hata mbolea watu wa mjini hawatumi pesa, Deal zimekata unajua watu hawaambiwa...www.jamiiforums.com
CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!
Wanabodi, Haya ninayoyaandika hapa, yanatoka ndani kabisa ya moyo wangu na ninaandika kwa uchungu!, kwa mtu yoyote ambaye alikuwa na matumaini ya labda 2015, tunaweza kupata mabadiliko, akiangalia hii trend ya Chadema inayokwenda nayo sasa, atakubaliana na mimi, kuwa the trend is not good at...www.jamiiforums.com
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Tena kubwa kweli kweli kuwe na hoja ya kusimamia na Uchaguzi ujao wajipange zaidi kwa wabunge kwa kusema ukweli huku kwenye uraisi wa subiri kidogo kutokana na nature ya huyu mtu waongeze wabunge ambao wataweza kujengea uhimara kuanzia halmashauri watakazopata ili huo wa 2025 iwe mteremko tu...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Baada ya hoja zote hizo, 2020 Chadema ikiambulia patupu, utasema ni mimi nimeshabikia hadi karma initandike?.
P
https://www.jamiiforums.com/threads...hivi-jee-ikulu-yetu-wangeiweza.1316811/page-3
Asante sana KamandaKaribu sana kamanda
Wewe jamaa una matatizo ya akili. Mwehu mkubwa wewe. We jamaa Mpuuzi sana tena Mpumbavu mkubwa!Mimi ni msoma trends mzuri, unaona kabisa mtoto anachezea wembe, unajua kabisa ukichezea wembe unaweza kumkata, jee ataacha tuu mtoto aendelee kuchezea wembe au utamnyang'anya?. Au unaona kabisa mtoto anachezea moto, unajua kabisa mtoto akichezea moto, ataweza kuungua, utamuacha tuu mtoto chezee moto aje kuungua au utamkataza na kumuonya kuwa ataungua.
Baada ya kunyanganya mtoto wembe na kumzuia asichezee moto, mtoto akiendelea kulilia, ukimuachia baadae akajikata au akaungua, utalaumiwa kuwa ulishabikia mtoto kuchezea wembe ukamkata au kuchezea moto ukamchoma.
Sishabikii Chadema kufa ndio maana nikawaambia yote haya
Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko Shari Kamili! - Kuepusha Shari, Kubalini Kosa!
Pasco ni wa kuogopa kama ukoma!www.jamiiforums.com
CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!
unajua chadema ni masikio ya kufa...kaa ujumla wake linaitwa sikio la kufa! ila wewe ushakufa kabisa so hamna namna..... mkuu acha ukiliza unaouonyesha hapa kuwa kila mkosoa chadema ni ccm, aibu mkuu Husikilizwi kwani umejitenga na mambo ya msingi. Kusiginwa kwa haki ya vyama kwa mujibu wa...www.jamiiforums.com
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
Flyover Dar, Uwanja chato, Mambo yote Dar na Chato, mmmh labda akijenga flyover Tunduru, kondoa au Nanjilinji atawashawishi, Wale wa vijijini waliokuwa wanatumiwa pesa na ndugu mjini sasa huko vijijini hawana kitu hata mbolea watu wa mjini hawatumi pesa, Deal zimekata unajua watu hawaambiwa...www.jamiiforums.com
CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!
Wanabodi, Haya ninayoyaandika hapa, yanatoka ndani kabisa ya moyo wangu na ninaandika kwa uchungu!, kwa mtu yoyote ambaye alikuwa na matumaini ya labda 2015, tunaweza kupata mabadiliko, akiangalia hii trend ya Chadema inayokwenda nayo sasa, atakubaliana na mimi, kuwa the trend is not good at...www.jamiiforums.com
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Tena kubwa kweli kweli kuwe na hoja ya kusimamia na Uchaguzi ujao wajipange zaidi kwa wabunge kwa kusema ukweli huku kwenye uraisi wa subiri kidogo kutokana na nature ya huyu mtu waongeze wabunge ambao wataweza kujengea uhimara kuanzia halmashauri watakazopata ili huo wa 2025 iwe mteremko tu...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Baada ya hoja zote hizo, 2020 Chadema ikiambulia patupu, utasema ni mimi nimeshabikia hadi karma initandike?.
P
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?!
Hapana,, tusifike huko mkuu!! Unless kama mna beef lenu wawili!Wewe jamaa una matatizo ya akili. Mwehu mkubwa wewe. We jamaa Mpuuzi sana tena Mpumbavu mkubwa!
Kwanini Mkuu?Hapana,, tusifike huko mkuu!!
Umemtukana mno mkuu!!Kwanini Mkuu?
Mkuu huyu jamaa hatu fahamiani...ila post zake zinachefua...pia ni mchonganishi sana. Mbea..muongo na mzandiki. Pia ni mganga njaa anaye jipendekeza kwa viongozi washamba kama yeye alivyo mshamba. Siku nikimuona nita mcharaza viboko.Hapana,, tusifike huko mkuu!! Unless kama mna beef lenu wawili!
Mkuu hapo hakuna tusi... hayo ni maneno makali tuUmemtukana mno mkuu!!
Mbowe anataka watu wa kuwaburuzaNiliumia sana huyu jamaa na malisa walivyoshindwa bavicha taifa walikua wanafaa sana
Hukuumia ccm walipofany rafu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ?Niliumia sana huyu jamaa na malisa walivyoshindwa bavicha taifa walikua wanafaa sana
Kuna tofauti kubwa sana ya Viwango vya Uelewa (IQ) kati ya watu wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na nyie Kanda ya ziwa (Wasukuma) Ukitoa mkoa wa Mara, wale jamaa wa Kusini wanajitambua sana, nyinyi akina Paskali ni bogasi na mapopoma,Duh...!, kumbe bado ipo angalau hadi October 2020, baada ya hapo, kuendelea kuwepo ni majaliwa!.
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
P
😆😆😆😆Wewe jamaa una matatizo ya akili. Mwehu mkubwa wewe. We jamaa Mpuuzi sana tena Mpumbavu mkubwa!