Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Zinaa unaijua wewe na mapokeo yako. Wenzako wanajinafasi tu.Na hao matajiri wa mali ni matajiri wa zinaa pia, wanachelewa kuoa kwa sababu wanakuwa na uchumi wa kutumia kwa zinaa kwa hiyo wao kuoa ni kutimiza wajibu tu lkn washafanya zinaa ya kutosha na kuwa na watoto kibao mitaani achilia mbali waliotupwa chooni.
Masikini wa fedha ni masikini pia wa zinaa maana hana za kutapanya hivyo ni bora kuwa na familia mapema!
Kwamba masikini wa fedha ni masikini wa zinaa si kweli, ingekuwa hivyo nchi masikini zisingeongoza kwa kinamama kuwa na watoto wengi na watoto wasio na baba kuwa wengi.
Kitu kikubwa kinachofanya jamii tajiri zichelewe kuoa si utajiri wa zinaa kama unavyosema, huo kila jamii upo.
Kinachofanya jamii tajiri zichelewe kuoa ni miaka mingi ya kusoma ili kujiandaa na maisha, sasa kama huko kuna zinaa, hayo ni matokeo tu.
Hata jamii masikini zinapoenda ngoma za kuwatoa dada zetu kuna zinaa nyingi na gongo watu wanakunywa sana tu.
Licha ya umasikini.