Glycel
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 415
- 191
Kweli maskin ndio tulivyoKuwahi kuoa na kuolewa ni tabia ya jamii masikini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli maskin ndio tulivyoKuwahi kuoa na kuolewa ni tabia ya jamii masikini.
Anaelekea 42 na si under 40...ni wa Dec 29 1975
Kama umekwenda shule vizuri Ukiwa na miaka 25, u memaliza first degree na una ajira unaweza kuoa. Mtoto wa kwanza ukimzaa na umri wa 26, ikiwezekana 36 umeshavutamasters na mtoto ana miaka 10. Ukiwa 46, mtoto yuko university unampa support, 56 mtoto anaweza kuoa na wewe ukacheza na wajukuu zakof.
Maisha haya na formula.
HONGERA MKUU
Pongezi tele kwa mbunge wa Mikumi, Joseph Haule "Profesa Jay" kwa kuipa mkonon wa kwaheri klabu ya ukapera.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tabia nyingine ya jamii masikini nikupenda kupangiana maisha na kuhukumiana kwa formula za haraka haraka bila hata ya kujua habari kamili za jambo.
Uswazi watu wanachunguzana moaka kufungua kapu la taka kuona nani kala mayai na nani kala dagaa kauzu.
Aisee nyamaza, unazidi kuharibu tu!Sasa kama kutafuta hiyo dawa ya cancer ndo kumewafanya wasioe/wasiolewe, hiyo cancer isingekuwepo si wangeoa/kuolewa?
Tatizo hapo ni hiyo cancer ndiyo maana wameamua wasioe/kuolewa ili waitafute dawa yake.
Aisee nyamaza, unazidi kuharibu tu!
Okay!Kivipi?
Hiyo saratani isingekuwepo hao walioamua kuacha kuoa/kuolewa ili waingie maabara kufanya tafiti za dawa ya saratani wangeoa/kuolewa. Tatizo ni hiyo saratani.
Nasisitiza tena, huwezi kufika umri wa Prof. Jay usiwe umeoa labda kuwe/uwe na tatizo.
Binti yangu na wewe utaolewa tu,jitunze.Mleta mada vipi umeshawasili Songwe au uko dodoma unasubiri kutoa ushahidi kwenye kesi yako?
Umesema kweli..Kuwahi kuoa na kuolewa ni tabia ya jamii masikini.
Binti yangu na wewe utaolewa tu,jitunze.
Yes mkuu, I mean kuoa sio kubariki ndoa.
Prof. Jay hapo kabariki ndoa. There is no way mtu wa umri wake awe hajaoa, labda awe na tatizo.
Alikua anabariki ndoa sio kufungaKakamilisha tu,wanaishi wote tokea muda mrefu tu
hmmmm!!!!! Kuoa Ni Umasikini au Nimeelewa Vibaya!Kuandaliwa maisha mazuri na wazazi si kigezo cha kuoa.
Mtu anaoa kwa mintaarafu ya mustakabali wa maisha yake mwenyewe, si kwa mujibu wa maisha ya kupangiwa na wazazi.
Watu kama wewe mnapangiwa mpaka mke wa kuoa.
Kuna jamii zilizoendelea kiuchumi ambazo zina utajiri wa vizazi na vizazi na bado watu hawawahi kuoa.
Bado hujaelewa kwamba ukiwa katika jamii masikini, kama hujajitoa elements fulani za jamii hiyo, hata ukiandaliwa maisha mazuri na wazazi wako unaweza kuwa bado una shombo la jamii masikini.
Kuwahi kuoa si sifa. Ni alama ya jamii masikini hata kama umeandaliwa maisha mazuri na wazazi wako.
Sio kwel...waarabu wanaoa na kuolewa wakiwa wadogo na ndio matajiri wengiKuwahi kuoa na kuolewa ni tabia ya jamii masikini.
kati ya ya jamii yako na jamii za Qatar, libya, pemba ipi ni masikini? na wepi wanawahi kuoa kwa mtazamo wako? ..... .............. acha kupotosha umma kiasiri jamii za kiislam zinaoa muda ukishafika, kwanza tambua hakuna kuwahi kuoa wala kuzaa, sababu muda ukishafika wa kubalehe mwanaume aliyepevuka inabidi awe na mke wake.......... usifikiri unachowaza wewe kila mtu anakifanya.Kuandaliwa maisha mazuri na wazazi si kigezo cha kuoa.
Mtu anaoa kwa mintaarafu ya mustakabali wa maisha yake mwenyewe, si kwa mujibu wa maisha ya kupangiwa na wazazi.
Watu kama wewe mnapangiwa mpaka mke wa kuoa.
Kuna jamii zilizoendelea kiuchumi ambazo zina utajiri wa vizazi na vizazi na bado watu hawawahi kuoa.
Bado hujaelewa kwamba ukiwa katika jamii masikini, kama hujajitoa elements fulani za jamii hiyo, hata ukiandaliwa maisha mazuri na wazazi wako unaweza kuwa bado una shombo la jamii masikini.
Kuwahi kuoa si sifa. Ni alama ya jamii masikini hata kama umeandaliwa maisha mazuri na wazazi wako.
inawezekana we ndio mjinga...........mwanaume unayesimamisha unayefanya shughuli zako halali za kukuingizia kipato unaishiji bila mke?, unafanya masturbation?, wewe ni shoga?, wewe haudindishi?, unanunua makahaba?......... kumbuka hizo option zote kwa mtu anayemjua mungu hazimfai ndio mana anaoa, sasa usifikiri kila mtu hamjui mungu kama wewe.Mkuu Al-Watan
Hili jambo nililijadili humu mwaka jana. Wajinga wengi wakapingana na mimi.
Kijana huna haja ya kuharakisha kuoa eti uwahi kupata watoto usije kuitwa babu
Waarabu ni jamii masikini.Sio kwel...waarabu wanaoa na kuolewa wakiwa wadogo na ndio matajiri wengi