Alikuwa anangoja afya iimarike
[emoji15][emoji15][emoji15]
Alikuwa mgonjwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anangoja afya iimarike
Huku kusini mwa jangwa la Sahara kwa sasa wasomi Ni wengi Sana Na mavyeti kibao ukitaka wanakupa tena certified lakini kumkuta kijana msomi Ana think professionally Ni ngumu kweli, hata kuwatofautisha Na wasiosoma Ni vigumu Sana. Kila penye vijana wasomi 100 unaweza mkuta Ni mmoja Tu ndio elimu imemkomboa kifikra au usimkute kabisa Na ukitaka kuamini tumia sample ya wanaokomenti humu. Kijana msomi badala ya kufikiri namna ya kuzi invest nguvu zake za sasa zije kumsaidia akizeeka anawaza kuoa haraka haraka Ili azae mapema mtoto aje kumsaidia akizeeka, matokeo yake kijana amemaliza Tu shule anakabidhiwa wadogo zake aanze kuwasomesha, huku Ni kubebeshana misalaba kwa uzembe. Leo wale watoto mapacha WA mengi wana bright future kuliko watoto WA kijana msomi WA miaka 25 anayewaza kuzaa badala kuwaza Nini cha kufanya ili baadae kimsaidie yeye na kizazi chake kijachoHahah aisee wazazi wa kiafrica ndo mawazo yao hayo,nilidhani pengine sababu wazazi wa miaka hio sababu hawakua na elimu ndo walikua wanazaa kwa staili hio.
Ila nimekuja kushangaa hata jamii yetu ya vijana waliosoma mtindo wa uzaaji ni ule ule tu.
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.
Hongera zake.
Mkuu hii ndio shida inayokabili wasomi wetu. Mtu kasoma na anajiita msomi ila bado hajaelimika. Elimu imebaki kwenye mavyeti ila kichwani haipo.Huku kusini mwa jangwa la Sahara kwa sasa wasomi Ni wengi Sana Na mavyeti kibao ukitaka wanakupa tena certified lakini kumkuta kijana msomi Ana think professionally Ni ngumu kweli, hata kuwatofautisha Na wasiosoma Ni vigumu Sana. Kila penye vijana wasomi 100 unaweza mkuta Ni mmoja Tu ndio elimu imemkomboa kifikra au usimkute kabisa Na ukitaka kuamini tumia sample ya wanaokomenti humu. Kijana msomi badala ya kufikiri namna ya kuzi invest nguvu zake za sasa zije kumsaidia akizeeka anawaza kuoa haraka haraka Ili azae mapema mtoto aje kumsaidia akizeeka, matokeo yake kijana amemaliza Tu shule anakabidhiwa wadogo zake aanze kuwasomesha, huku Ni kubebeshana misalaba kwa uzembe. Leo wale watoto mapacha WA mengi wana bright future kuliko watoto WA kijana msomi WA miaka 25 anayewaza kuzaa badala kuwaza Nini cha kufanya ili baadae kimsaidie yeye na kizazi chake kijacho
Oa wewe acha kujipa reassuranceKuwahi kuoa na kuolewa ni tabia ya jamii masikini.
Mkuu Al-WatanKuwahi kuoa na kuolewa ni tabia ya jamii masikini.
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.
Hongera zake.
Sina uhakika HoE ila nikipiga hesabu zangu kwa kukadiria tofauti zetu, atakuwa anaikaribia sana arobaini.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa huyo hata kusoma sentensi ndogo tu tabu.
Nikianza kumporomoshea Hegelian dialectics zinavyoingia katika second law of thermodynamics na kurudi kwenye Malthusian malfeasance ataelewa vipi?
Atalewa badala ya kuelewa!
Kuwahi kuoa na kuolewa ni tabia ya jamii masikini.
Ni mbaya kwa mtazamo wako ila ni approach nzuri sana in case hutaki kukurupuka. Mwanamke ambae atakubali kuishi na wewe mkajipanga ndio mke haswaa sio wale ambao uchumba wa mwaka mnang'ang'ania ndoa ili muwaoshee mashoga zenu.Tabu ni pale unaposema sijaoa halafu unaisha na Mtu kama mke na watoto mmezaa halafu siku za mbele unakuja kufunga ndoa takatifu! ni bora kuoa mapema kuliko kuishi hivyo.
41yrsSina uhakika HoE ila nikipiga hesabu zangu kwa kukadiria tofauti zetu, atakuwa anaikaribia sana arobaini.
41yrs